Ratiba ya Mechi za Leo 12/08/2025 CHAN
Michuano ya African Nations Championship (CHAN) 2024, inayoshirikisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani pekee, inaendelea leo Jumanne, Agosti 12, 2025 katika viwanja mbalimbali barani Afrika Mashariki.
Mashindano haya yanafanyika katika mfumo wa pamoja wa Kenya, Tanzania na Uganda, na leo mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya aina yake kupitia michezo miwili muhimu ya hatua ya makundi. Kwa mujibu wa ratiba ya mechi za leo 12/08/2025 CHAN, michezo yote itapigwa katika Amaan Stadium na itaonyeshwa mubashara kupitia chaneli mbalimbali za michezo, ikiwemo Azam Max.
Mechi za Leo – Jumanne, 12 Agosti 2025
Senegal vs Congo
- Saa: 11:00 Jioni (EAT)
- Uwanja: Amaan Stadium – Zanzibar
Hii ni mechi ya kwanza ya siku ambapo timu ya Senegal itamenyana na Congo katika pambano linalotarajiwa kuwa na ushindani mkali kutokana na historia nzuri ya timu zote mbili katika mashindano ya CHAN.
Sudan vs Nigeria
- Saa: 2:00 Usiku (EAT)
- Uwanja: Amaan Stadium – Zanzibar
Mechi ya pili itawakutanisha Sudan na Nigeria. Nigeria, maarufu kwa soka lake la kasi na nidhamu, itakutana na Sudan ambayo imeonyesha kiwango kizuri katika hatua za awali.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026
- Yanga Kucheza Mechi ya Kirafiki Dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda 15/08/2025
- Everton na Man City Wakubaliana Kuhusu Uhamisho wa Mkopo wa Grealish
- Wachezaji Wapya wa Yanga 2025/2026
- Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking 2025)
- Timu zilizofuzu Robo Fainali CHAN 2024
- Ratiba ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 Hatua ya Awali
Leave a Reply