Wafungaji Bora CHAN 2025

Wafungaji Bora CHAN 2025 | Vinara wa Magoli CHAN 2024/2025

Michuano ya CHAN 2025 imefikia hatua ya robo fainali ambapo mataifa nane yameibuka videdea baada ya kujikatia tiketi ya kuendelea kupambana katika hatua ya mtoano. Sambamba na mvuto wa mechi hizi, mbio za Wafungaji Bora CHAN 2025 | Vinara wa Magoli CHAN 2024/2025 zimeendelea kushika kasi, huku washambuliaji kadhaa wakionyesha makali yao katika hatua ya makundi.

Mashindano haya ya ubingwa wa mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani yanashirikisha jumla ya mataifa matatu wenyeji Uganda, Tanzania na Kenya na yanatarajiwa kufikia tamati ifikapo Agosti 30, 2025.

Wafungaji Bora CHAN 2025 | Vinara wa Magoli CHAN 2024/2025

Timu Zilizofuzu Robo Fainali CHAN 2025

Baada ya hatua ya makundi kukamilika, timu nane zimefanikiwa kutinga robo fainali kwa ushindani mkali. Kila kundi lilitoa timu mbili bora ambazo sasa zitapambana ili kufuzu nusu fainali. Mechi za robo fainali zitakazochezwa ni kama ifuatavyo:

  • Kenya × Madagascar
  • Tanzania × Morocco
  • Uganda × Senegal
  • Sudan × Algeria

Matarajio ni makubwa huku kila taifa likilenga si tu kutwaa ubingwa, bali pia kutoa mfungaji bora wa mashindano haya.

Wafungaji Bora CHAN 2025 | Vinara wa Magoli CHAN 2024/2025

Mbio za Wafungaji Bora CHAN 2025 zimekuwa na ushindani mkubwa. Baada ya hatua ya makundi, wachezaji watatu wanaongoza kwa mabao matatu kila mmoja, wakifuatiwa na kundi la wachezaji kadhaa wenye mabao mawili.

Wachezaji wanaoongoza kwa mabao 3

  1. Thabiso Kutumela (Afrika Kusini) – Mabao 3
  2. Allan Okello (Uganda) – Mabao 3
  3. Oussama Lamlioui (Morocco) – Mabao 3

Wachezaji waliopachika mabao 2

  1. Lalaina Cliver Rafanomezantsoa (Madagascar) – Mabao 2
  2. Mohamed Rabii Hrimat (Morocco) – Mabao 2
  3. Jephté Kitambala (DR Congo) – Mabao 2
  4. Sofiane Bayazid (Algeria) – Mabao 2
  5. Kaporal (Angola) – Mabao 2
  6. Clément Mzir (Tanzania) – Mabao 2
  7. Austin Odhiambo (Kenya) – Mabao 2
  8. Ryan Ougam (Kenya) – Mabao 2
  9. Abdelrahman Omar (Sudan) – Mabao 2

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Jonathan Sowah Kuikosa Simba vs Yanga Ngao ya Jamii Septemba 16, 2025
  2. Sherehe za Wiki ya Mwananchi 2025 Yanga Day Kufanyika Benjamin Mkapa Septemba 12
  3. Khalid Aucho Asaini Mkataba wa Miaka 2 na Singida Black Stars
  4. Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025 | Mechi za Robo fainali CHANI
  5. Timu zilizofuzu Robo Fainali CHAN 2024
  6. Simba SC Kuzindua Rasmi Jezi Mpya 2025/2026 Agosti 27
  7. Jezi Mpya za Yanga 2025/2026 Zaanza Kuuzwa kwa Pre-Order – Fahamu Bei na Upatikanaji
  8. Ratiba ya Ngao ya Jamii 2025/2026
  9. Msimamo wa Ligi Kuu England EPL 2025/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo