Vituo vya Kununua Tiketi za Siku ya Yanga DAY 2025
Kuelekea tamasha kubwa la Yanga Day 2025 litakalofanyika tarehe 12 Septemba 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, uongozi wa Yanga SC umetangaza rasmi vituo vya mauzo ya tiketi ili kuhakikisha kila shabiki anapata nafasi ya kushiriki. Mashabiki wanahimizwa kununua tiketi mapema kupitia vituo vilivyoorodheshwa hapa chini.
Orodha ya Vituo vya Kununua Tiketi Yanga Day 2025
- Young Africans – Jangwani
- Vunja Bei – Dar es Salaam Shops
- T-Money Ltd – Kigamboni
- Gitano Samwel – Mbagala Zakhem
- Khalfan Mohamed – Ilala
- Lampard Electronics
- Gwambina Lounge – Gwambina
- Karoshy Pamba – Dar Live (Zakhem)
- Antonio Service – Sinza, Kivukoni
- Tumpe Kamwela – Kigamboni
- Sovereign – Kinondoni Makaburini
- View Blue Skyline – Mikocheni
- Mkaluka Traders – Machinga Complex
- New Tech General Traders – Ubungo
- Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
- Juma Burrah – Kivukoni
- Juma Burrah – Msimbazi
- Alphan Hinga – Ubungo
- Mtemba Service Co – Temeke
- Jackson Kimambo – Ubungo
- Shirima Shop – Leaders Club
Mapendekezo ya Mhariri:
- Yanga VS Bandari 12/09/2025 Saa Ngapi?
- Romain Folz Aitaja Simba Katika Maandalizi ya Mechi ya Yanga na Bandari
- Kocha Ken Odhiambo Asema Bandari Imejipanga Kumkabili Bingwa Yanga
- Bakari Mwamnyeto Atoa Wito Kwa Mashabiki Kujitokeza Kwa Mkapa
- Mbosso Avunja Rekodi za Burudani Simba Day Kwa Performance Bora Zaidi
- Ratiba ya NBC Premier league 2025/2026
- Kikosi cha Simba Sc 2025/2026
- Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026
Leave a Reply