Ratiba ya Mechi za Leo 18 September 2025

Ratiba ya Mechi za Leo 18 September 2025

Burudani ya soka leo inaendelea kwa mashabiki wote duniani, ambapo viwanja mbalimbali vitawaka moto kupitia michezo ya ligi kubwa barani Ulaya pamoja na Ligi Kuu ya NBC Tanzania. Siku ya Alhamisi, tarehe 18 Septemba 2025, mashabiki wanatarajia kuona michezo yenye ushindani wa hali ya juu ikiambatana na burudani ya kipekee.

Ratiba ya Mechi za Leo 18 September 2025

Kwa wapenzi wa soka, hii ndiyo ratiba ya mechi za leo 18 September 2025 katika michuano mikubwa duniani na ndani ya Tanzania:

Ratiba ya UEFA Champions League – League Stage Leo 18 September 2025

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inarejea kwa kishindo, ambapo timu nguli za Ulaya zinachuana kusaka pointi muhimu katika hatua ya makundi:

  • Club Brugge 🆚 Monaco – Saa 17:45
  • Copenhagen 🆚 Bayer Leverkusen – Saa 17:45
  • Eintracht Frankfurt 🆚 Galatasaray – Saa 20:00
  • Manchester City 🆚 Napoli – Saa 20:00
  • Newcastle United 🆚 Barcelona – Saa 20:00
  • Sporting CP 🆚 Kairat – Saa 20:00

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2025/2026 Leo 18 September 2025

Vilevile, burudani haipo Ulaya pekee. Tanzania nayo imetupatia mechi kali katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania:

  • Fountain Gate 🆚 Mbeya City – Saa 14:00 (Tanzanite Kwaraa, Manyara)
  • Mashujaa FC 🆚 JKT Tanzania – Saa 16:15 (Lake Tanganyika, Kigoma)
  • Namungo FC 🆚 Pamba Jiji – Saa 19:00 (Majaliwa, Lindi)

Kwa wapenda soka la nyumbani, hii ni nafasi ya kuona vipaji vipya vikijitokeza na timu zikijipigania nafasi bora msimu huu wa 2025/2026.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Yanga vs Simba Leo 16/09/2025 Fainali Ya Ngao ya Jamii 2025 Saa Ngapi?
  2. Kikosi cha Yanga vs Simba Leo 16/09/2025 Fainali Ngao ya Jamii
  3. Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025 Fainali Ngao ya Jamii
  4. Kikosi cha Simba Dhidi ya Yanga Leo 16/09/2025 Fainali Ngao ya Jamii
  5. Viingilio Mechi ya Yanga VS Simba Ngao ya Jamii 2025
  6. Waamuzi Mechi ya Yanga vs Simba Fainali Ya Ngao ya Jamii 2025
  7. CAF Yaipiga Simba Faini ya Dola 50,000 na Marufuku ya Mashabiki
  8. Chama Aipa Singida Bs Ubingwa Wa CECAFA Kagame Cup 2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo