Kikosi cha Yanga vs Mbeya City Leo 30/09/2025

Kikosi cha Yanga vs Mbeya City Leo 30/09/2025

Kocha wa Yanga ametangaza wachezaji 11 wa kuanzia katika mechi ya leo. Hiki ndicho kikosi cha Yanga vs Mbeya City Leo 30/09/2025:

  • 39 Diarra
  • 33 Mwenda
  • 23 Boka
  • 5 Job (C)
  • 4 Bacca
  • 2 Andabwile
  • 7 Maxi
  • 38 Abuya
  • 9 Boyeli
  • 19 Doumbia
  • 10 Pacome

Kikosi cha Yanga vs Mbeya City Leo 30/09/2025

Wachezaji wa akiba waliopo benchi ni: Msheri, Ninju, Hussein, Abdulnassir, Conte, Kouma, Chikola, Edmund, Ecua na Dube.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Ratiba ya Mechi za Leo 30/09/2025 Ligi Kuu ya NBC
  2. Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2025/2026
  3. Mbeya City vs Yanga sc Leo 30/09/2025 Saa Ngapi?
  4. Arsenal yapata ushindi wa dakika za mwisho dhidi ya Newcastle United
  5. Wapinzani wa Simba Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika CAF
  6. Azam FC Yafuzu Raundi ya Pili CAFCC Baada ya Ushindi wa 4-0 Dhidi ya El Merriekh
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo