Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2025/2026
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, almaarufu kama CAF Champions League, inaendelea kutimua vumbi katika miji mbalimbali ya bara hili, huku vilabu vikubwa vikiwania nafasi ya kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa 2025/2026. Mashindano haya yanajulikana kwa ushindani mkubwa na hadhi yake kama ngazi ya juu kabisa ya soka la vilabu barani Afrika.
Mechi za hatua za awali zimekuwa za kuvutia, na tayari baadhi ya timu zimefanikiwa kupata tiketi ya kushiriki katika hatua ya makundi baada ya kuibuka na ushindi katika michezo yao ya awali. Hadi sasa timu sita zimethibitishwa kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026. Vilabu hivyo vinatoka katika nchi mbalimbali za Afrika, zikionyesha uhalisia wa mashindano haya kuwa ya bara zima.
Orodha ya Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2025/2026
- Al Ahly 🇪🇬
- Power Dynamos 🇿🇲
- Al Hilal SC 🇸🇩
- St Eloi Lupopo 🇨🇩
- Yanga 🇹🇿
- Rivers United 🇳🇬
- Petro Luanda 🇦🇴
- JS Kabylie 🇩🇿
- AS FAR 🇲🇦
Kwa sasa, timu 7 zaidi zinatarajiwa kuungana na vilabu hivi katika hatua ya makundi. Mashindano bado yanaendelea, na matokeo ya michezo iliyosalia yataamua ni vilabu gani vitakamilisha idadi ya timu 16 zitakazoshiriki katika hatua hii muhimu.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Singida BS VS Flambeau Leo 25/10/2025 Saa Ngapi?
- Yanga Vs Silver Strikers Leo 25/10/2025 Saa Ngapi?
- Matokeo ya Azam vs KMKM Leo 24/10/2025
- Yanga SC Yatangaza Kuachana na Kocha Wake Romain Folz
- Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026
- Msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026
- Matokeo ya Azam vs KMKM Leo 24/10/2025
- Pacome Anukia Kombe la Dunia Baada ya Ushindi 7-0 Dhidi ya Shelisheli
- Kaizer Chiefs Ya Thibitisha Kuachana na Kocha Nasreddine Nabi








Leave a Reply