Ratiba ya Simba Club Bingwa Afrika 2025/2026

Ratiba ya Simba Club Bingwa Afrika 2025/2026

Baada ya kufuzu hatua ya makundi CAF, Wekundu wa Msimbazi Simba SC wataanza safari yao ya kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya mtoano ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika, kwa mfululizo wa mechi sita zitakazoamua hatma yao dhidi ya vigogo watatu wa soka la Afrika. Simba, ambayo imeendelea kuwa moja ya wawakilishi wakubwa wa Afrika Mashariki kwenye mashindano haya, inatarajiwa kuingia kwa nidhamu ya mbinu, uzoefu wa kimataifa na nguvu ya mashabiki wake.

Kwa mujibu wa ratiba rasmi iliyotolewa, Simba itafungua pazia la kampeni zao dhidi ya Petro de Luanda ya Angola, kabla ya kukutana na vigogo wengine kama Stade Malien ya Mali na Esperance de Tunis ya Tunisia, ambazo zote zina rekodi nzito katika michuano hii.

Ratiba ya Mechi za Simba SC — Klabu Bingwa Afrika 2025/2026

Mechi Tarehe
Simba SC 🇹🇿 vs Petro de Luanda 🇦🇴 21–23 Novemba 2025
Stade Malien 🇲🇱 vs Simba SC 🇹🇿 28–30 Novemba 2025
Esperance de Tunis 🇹🇳 vs Simba SC 🇹🇿 23–25 Januari 2026
Simba SC 🇹🇿 vs Esperance de Tunis 🇹🇳 30 Jan – 01 Februari 2026
Petro de Luanda 🇦🇴 vs Simba SC 🇹🇿 06–08 Februari 2026
Simba SC 🇹🇿 vs Stade Malien 🇲🇱 13–15 Februari 2026

Ratiba ya Simba Club Bingwa Afrika 2025/2026

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Yanga vs KMC Leo 09/11/2025 Sasa Ngapi?
  2. Kikosi cha Simba vs JKT Tanzania Leo 08/11/2025
  3. Kikosi cha Yanga vs KMC Leo 09/11/2025
  4. Ratiba ya Ligi Kuu Wanawake Tanzania (TWPL) 2025/2026
  5. Droo ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2025/2026
  6. Yanga Yaangukia Kundi B na Al Ahly Droo ya Makundi Klabu Bingwa 2025/2026
  7. Msimamo Kundi la Yanga Klabu Bingwa 2025/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo