Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 03/02/2026
NBC Premier League leo Jumanne
Saa 8:00 mchana, Mbeya City watakuwa nyumbani uwanja wa Sokoine wakiwakaribisha Dodoma Jiji
Saa 1:00 usiku, KMC watakuwa uwanja wa Kassim Majaliwa wakikipiga na Mashujaa FC kutoka Kigoma
Je, timu gani kuondoka na alama tatu?
Michezo hii kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Edito’s Picks:








Leave a Reply