Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga Vyuo Vya VETA Januari 2026 Awamu ya Pili

Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga Vyuo Vya VETA Januari 2026

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetangaza rasmi Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga Vyuo Vya VETA Januari 2026 Awamu ya Pili, yakihusisha waombaji waliopata nafasi katika ngazi ya Level I kwenye vituo mbalimbali vya mafunzo nchini. Orodha hiyo inaonesha mgawanyo wa wanafunzi kulingana na chuo, kozi na mfumo wa masomo.

Pakua orodha kamili hapa: Angalia Majina Kamili ya Waliochaguliwa

Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga Vyuo Vya VETA Januari 2026 Awamu ya Pili

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Majina ya Wanafunzi na Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano 2026
  2. Viwango Vya Mishahara ya Walimu 2026
  3. Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 (NECTA Form Four Results)
  4. NECTA Form Four Results 2025/2026 CSEE
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo