Ratiba ya Mechi za CRDB Federation Cup Leo 17/02/2026

Ratiba ya Mechi za CRDB Federation Cup Leo 17/02/2026

Michuano ya kombe la shirikisho Tanzania, maarufu kama CRDB Federation Cup (zamani FA Cup), inaendelea kutimua vumbi leo Jumanne, tarehe 17 Februari 2026. Hii ni hatua muhimu ambapo vigogo wa soka nchini na timu zinazochipukia zinachuana vikali kuwania ubingwa na nafasi ya kuiwakilisha nchi kimataifa.

Mechi za Leo: Jumanne, 17 Februari 2026

Leo uwanjani kutakuwa na michezo miwili mikubwa itakayovuta hisia za mashabiki wengi, huku wekundu wa Msimbazi wakishuka dimbani usiku.

KMC FC vs Bandari Tanzania

  • Muda: Saa 10:00 Jioni

Simba SC vs Greenland FC

  • Muda: Saa 1:00 Usiku

Mechi za Kesho: Jumatano, 18 Februari 2026

Burudani haitaishia leo pekee. Kesho Jumatano, mabingwa watetezi na timu nyingine imara zitakuwa kazini:

JKT Tanzania vs Pan African

  • Muda: Saa 10:00 Jioni

Yanga SC vs Cosmopolitan

  • Muda: Saa 1:00 Usiku

Ratiba ya Mechi za CRDB Federation Cup Leo 17/02/2026

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Msimamo Kundi la Yanga Klabu Bingwa 2025/2026
  2. Kikosi cha Yanga VS JS Kabylie Leo 15/02/2026
  3. Msimamo wa Kundi la Azam Kombe la Shirikisho CAF 2025/2026
  4. Simba SC Yaichapa Stade Malien Nyumbani na Kuvunja Ukame wa Ushindi CAF
  5. Viingilio vya Mechi ya Simba vs Stade Malien 14/02/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo