Mtibwa Sugar VS Yanga Leo 21/03/2026 Saa Ngapi?

Mtibwa Sugar VS Yanga Leo 21/03/2026 Saa Ngapi?

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, wanarejea dimbani leo Machi 21, 2026 katika mwendelezo wa ligi hiyo, wakitarajiwa kushuka uwanjani kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuvaana na Mtibwa Sugar katika mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Mtibwa Sugar VS Yanga Leo 21/03/2026 Saa Ngapi?

Kwa mujibu wa ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, mchezo huu wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga SC utapigwa:

  • Tarehe: Jumamosi, Machi 21, 2026
  • Muda: Saa 10:00 jioni
  • Uwanja: Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Mtibwa Sugar VS Yanga Leo 21/03/2026 Saa Ngapi?

Hii inaifanya kuwa moja ya mechi muhimu za siku hii, huku mashabiki wengi wakisubiri kuona matokeo ya timu hizi mbili zenye historia tofauti kwenye ligi.

Hali ya Timu Kabla ya Mchezo

Mchezo wa leo unakuja katika wakati ambao kila timu inahitaji matokeo chanya.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo:

  • Mtibwa Sugar haijapata ushindi katika mechi zake mbili zilizopita
  • Yanga SC pia inaingia kwenye mchezo huu bila ushindi katika mechi mbili za mwisho

Hali hii inaongeza presha kwa pande zote mbili, kwani kila mmoja atalazimika kupambana ili kurejea kwenye mstari wa ushindi.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Hussein Katanga na Ally Mnyupe Wafungiwa Kwa Makosa ya Uamuzi wa Penalti
  2. Simba Yalazimishwa Sare ya 1-1 na Pamba Jiji Kirumba
  3. Senegal Yapokonywa Ubingwa wa AFCON 2025 Baada ya CAF Kubadili Matokeo ya Fainali
  4. Senegal Kupeleka Kesi CAS Kupinga Kupokonywa Taji la AFCON
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo