Fountain Gate FC vs Yanga Leo 21/04/2025 Saa Ngapi?
Katika mwendelezo wa michezo ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025, macho ya mashabiki wa soka nchini Tanzania leo yameelekezwa katika dimba la Tanzanite Kwaraa, ambako kutashuhudiwa mtanange mkali kati ya Fountain Gate FC dhidi ya Young Africans SC (Yanga SC). Mchezo huu umepangwa kuchezwa leo tarehe 21 Aprili 2025 kuanzia saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Taarifa za Mchezo Kwa Muhtasari:
- Mchezo: Fountain Gate FC vs Yanga SC
- Tarehe: 21 Aprili 2025
- Saa: 10:00 Jioni (EAT)
- Uwanja: Tanzanite Kwaraa
Mapendekezo ya Mhariri:
- Kikosi cha Simba VS Stellenbosch Leo 20/04/2025
- Matokeo ya Simba VS Stellenbosch Leo 20/04/2025
- Simba VS Stellenbosch Leo 20/04/2025 Saa Ngapi?
- Ifahamu Jayrutty Investment Company Limited, Mdhamini Mpya wa Simba
- Dickson Ambundo Ajiondoa Fountain Gate Akidai Kutolipwa Zaidi ya Shilingi Milioni 50
- Viingilio Mechi ya Simba VS Stellenbosch 20/04/2025
- Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Simba VS Stellenbosch 20/04/2025
- Kikosi cha Stellenbosch Chawasili Zanzibar kwa Ajili ya Simba
- Ratiba ya Mechi za Leo 19/04/2025 Ligi Kuu NBC
Leave a Reply