Hizi Apa Code za Haloteli: Namba Muhimu Za Haloteli 2024
Halotel ni miongoni mwa mitandao ya simu inayoongoza nchini, ikihudumia kwa gharama nafuu. Imejipatia sifa kwa huduma bora na bei nafuu ikilinganishwa na wengine, hivyo kuwavutia wengi kutumia mtandao huu. Ikiwa wewe ni mteja wa Halotel au unapanga kuanza kutumia mtandao huu, ni muhimu kufahamu Code za Halotel, ambazo ni namba maalum zinazowawezesha wateja wa haloteli kujiunga na huduma mbalimbali. Hapa tumekuletea namba zote za kujiunga na huduma mbalimbali za Haloteli.
Hizi Apa Code za Haloteli: Namba Muhimu Za Haloteli 2024
Code Za Haloteli | Huduma |
*148*66# | Kusajili vifurushi |
*148*55# | Kusajili vifurushi kwa laini za Chuo, Tomato, Edu na Study |
*150*88# | HaloPesa |
*102# | Kuangalia salio Kuu na Ia Ziada |
*102*01# | Kuangalia salio Ia Promosheni |
*106# | Kuangalia taarifa za usajili |
*15042*1# | Kusajili huduma za roaming |
namba za *kiasi # *101* mpokeaji | Kutuma salio |
Kuhusu Halotel Tanzania
Halotel ni kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi inayojulikana kwa huduma za sauti, ujumbe, data, na mawasiliano nchini Tanzania. Ni mali ya Viettel Global JSC, kampuni ya uwekezaji inayomilikiwa na serikali ya Vietnam, ambayo imekuwa ikifanya uwekezaji katika sekta ya mawasiliano katika nchi mbalimbali ulimwenguni. Viettel imewekeza zaidi ya dola bilioni moja katika soko la mawasiliano la Tanzania. Halotel ilikuwa kampuni ya kwanza nchini Tanzania kuruhusiwa kuweka miundombinu yake ya fiber optic, na sasa inatoa huduma za mawasiliano katika mikoa yote 26 ya Tanzania, ikiwa na mtandao wa zaidi ya kilomita 18,000 za fiber optic
Mapendekezo Ya Mhariri:
Weka Komenti