Ipswich Town Yafuzu Ligi Kuu EPL Baada Ya Miaka 22

Ipswich Town Yafuzu Ligi Kuu EPL Baada Ya Miaka 22

Ipswich Town hatimaye yamerejea Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kusubiri takriban miongo miwili. ‘The Tractor Boys’ wamerejesha fahari yao kwa kurudi kwenye kinyang’anyiro kikubwa zaidi cha soka duniani.

Magoli ya Wes Burns and Omari Hutchinson katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Huddersfield Town ndiyo yaliyothibitisha kupanda daraja kwa Ipswich Town. Wanamaliza msimu wa Championship wakiwa kileleni kwa pointi 96, wakifuatiwa na Leeds United walioshika nafasi ya tatu.

Ipswich Town Yafuzu Ligi Kuu EPL Baada Ya Miaka 22

Msimamo Wa Championship hadi hii leo may 6 2024

#TeamPlWDLFAGDPts
1Leicester City463141189414897
2Ipswich Town462812692573596
3Leeds United462791081433890
4Southampton462691187632487
5West Bromwich Albion4621121370472375
6Norwich City4621101579641573
7Hull City461913146860870
8Middlesbrough46209177162969
9Coventry City4617131670591164
10Preston North End46189195667-1163
11Bristol City461711185351262
12Cardiff City46195225370-1762
13Millwall461611194555-1059
14Swansea City461512195965-657
15Watford461317166161056
16Sunderland46168225254-256
17Stoke City461511204960-1156
18Queens Park Rangers461511204758-1156
19Blackburn Rovers461411216074-1453
20Sheffield Wednesday46158234468-2453
21Plymouth Argyle461312215970-1151
22Birmingham City461311225065-1550
23Huddersfield Town46918194877-2945
24Rotherham United46512293789-5227

Mapendekezo ya Mhariri:

Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo