Hizi Apa Picha za Jezi Mpya ya Azam Fc 2024/2025: Klabu ya Azam Fc imezindua jezi zake mpya kwa ajili ya msimu wa 2024/2025. Jezi hizo zimezinduliwa leo Agosti 01 2024 katika boti ya Kilimanjaro VIII ‘The Falcon Sea’ jijini Dar es Salaam saa 3:00 asubuhi. Hapa Habariforum tumekuletea picha za jezi zote mpya za Azam Fc kujumuisha, picha za jezi ya nyumbani, Ugenini na Jezi ya tatu.
Hizi Apa Picha za Jezi Mpya ya Azam Fc 2024/2025
Picha za Jezi Ya Azam Fc Mechi za Nyumbani 2024
Picha Jezi Mpya za Azam Fc Mechi za Ugenini 2024
Picha Jezi Ya Mpya ya Azam Fc 2024/2025 (Jezi ya Tatu)
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti