Cheki Picha: Jezi Mpya za Liverpool kwa Msimu wa 2024/2025

Cheki Picha: Jezi Mpya za Liverpool kwa Msimu wa 2024/2025

Liverpool imeazindua jezi mpya kwa ajili ya msimu wa 2024-25, Jezi hizo mpya zimetajwa kuhamasishwa na muundo wa timu ya mwaka 1984. Uzinduzi wa jezi mpya za liverpool unatokea wakati ambapo Liverpool inakabiliwa na mabadiliko ya ukufunzi, huku Arne Slot akitarajiwa kumrithi Jurgen Klopp baada ya miaka tisa ya uongozi.

Nyota kama Virgil van Dijk na Mohamed Salah wameonekana katika uzinduzi wa jezi hizo mpya, lakini hatima yao na ya timu bado haijulikani, huku kukiwa na uvumi wa kuondoka kwao. Liverpool imeweza kuashiria muundo wa retro, ikionyesha heshima yake kwa msimu wa mafanikio wa 1984, ambapo ilinyakua mataji kadhaa chini ya kocha Joe Fagan.

Van Dijk ameelezea upendo wake kwa jezi hizo za kihistoria: “Ninapenda sana mtindo huu, Liverpool ni klabu yenye historia kubwa, na ni muhimu kwetu kuheshimu hilo.”

Picha za matangazo zimeweka msisitizo pia kwa wachezaji kama Ibrahima Konate, Darwin Nunez, Alexis Mac Allister, na Joe Gomez, wakionyesha kujivunia kwao kuvaa jezi hizo mpya.”

Cheki Picha: Jezi Mpya za Liverpool kwa Msimu wa 2024/2025

Jezi Mpya za Liverpool 2024/2025 Mechi Za Nyumbani

Jezi Mpya za Liverpool kwa Msimu wa 2024/2025 Mechi Za Nyumbani

Jezi Mpya za Liverpool 2024/2025 Mechi Za Ugenini

Jezi Mpya za Liverpool 2024/2025 Mechi Za Ugenini

Machaguo Ya Mhariri:

  1. Fainali ya UEFA Champions League 2024: Real Madrid vs. Borussia Dortmund
  2. Kanuni Mpya za Mfungaji Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/2024
  3. Yanga Yapata Ushindi Mzuri Dhidi ya Kagera Sugar, Mudathir Anafunga Bao La Pekee
  4. Real Madrid Yatinga Fainali Ya Klabu Bingwa 2024 Ikimtoa Bayern Kwa Jumla Ya Magoli 3-4
  5. Dortmund Kusubiri Mshindi kati Ya Buyern Dhidi Ya Real Madrid Fainali Klabu bingwa
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo