Jezi Mpya za Yanga za Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/2026
Klabu ya soka ya Yanga imezindua jezi mpya ambazo watazitumia kwenye mechi zao za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) msimu huu.
Huu hapa ‘uzi’ watakaoutumia katika mechi za nyumbani.

Huu hapa ‘uzi’ watakaoutumia katika mechi za Ugenini.
Huu hapa ‘uzi’ mpya wa Yanga watakaotumia kwenye mechi za ugenini za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) msimu huu.

Jezi ya Tatu ya Yanga Itakayotumika katika michezo ya CAF
Na hii ndio jezi namba tatu ya Yanga SC ambayo wataitumia katika mechi zake za Ligi ya Mabingwa msimu huu.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Pantev Aandaa Mbinu Kali za kuizamisha Petro de Luanda Ligi ya Mabingwa Afrika
- Hat-Trick za Fernandes na Neves Zaipeleka Ureno Kombe la Dunia Baada ya Kuichapa Armenia 9-1
- Lyon Karibu Kumsajili Endrick Kutoka Real Madrid
- Wachezaji wa Simba Walioitwa Timu za Taifa November 2025
- Matokeo ya Yanga vs KMC Leo 09/11/2025
- Ratiba ya Yanga Klabu Bingwa 2025/2026









Leave a Reply