JS Kabylie vs Yanga Leo 28/11/2025 Saa Ngapi?

JS Kabylie vs Yanga Leo 28/11/2025 Saa Ngapi?

Timu ya Wananchi Yanga SC, baada ya kuanza vyema hatua ya makundi kwa ushindi katika mchezo wao wa kwanza nyumbani, leo Ijumaa tarehe 28 Novemba 2025 watakuwa na mtihani mwingine ugenini nchini Algeria dhidi ya JS Kabylie. Mchezo huu muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) utafanyika kwenye Uwanja wa Hocine Aït Ahmed, na utapigwa saa 1:00 usiku kwa saa za Tanzania, huku kurushwa moja kwa moja kukitarajiwa kupitia AzamSports1HD.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi za mchezo, pambano hili litaanza saa 7:00 usiku kwa saa za Tanzania (🇹🇿), ambayo ni saa 5:00 jioni kwa saa za Algeria (🇩🇿). Ratiba hiyo imebainishwa ndani ya muongozo wa mechi kwa mujibu wa taarifa.

JS Kabylie vs Yanga Leo 28/11/2025 Saa Ngapi?

Taarifa Muhimu za Mchezo: JS Kabylie vs Yanga Leo 28/11/2025 Saa Ngapi?

  • Mashindano: CAF Champions League (CAFCL)
  • Mpinzani: JS Kabylie (Algeria)
  • Tarehe ya Mchezo: 28 Novemba 2025
  • Uwanja: Hocine Aït Ahmed
  • Muda kwa Saa za Tanzania: 7:00 PM
  • Muda kwa Saa za Algeria: 5:00 PM

Umuhimu wa Mchezo kwa Yanga SC

Mchezo wa leo una uzito mkubwa kwa Yanga SC, ikizingatiwa kuwa ni mechi ya ugenini katika mazingira yenye presha kwa sababu ya uwanja wa Hocine Aït Ahmed unaosifika kwa sapoti ya nguvu kutoka kwa mashabiki wa JS Kabylie. Ushindi au matokeo chanya katika uwanja huu kunaweza kuwa hatua muhimu katika safari ya Wananchi kusonga mbele katika hatua ya makundi ya CAFCL.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. TFF Yatangaza Kuahirishwa kwa Tuzo za Msimu 2024/2025
  2. Timu Tatu za Tanzania Zashindwa Kung’ara Katika Michezo ya Kwanza ya Makundi CAF
  3. Msimamo wa Makundi Kombe la Shirikisho CAF 2025/2026
  4. Msimamo Kundi la Simba Klabu Bingwa 2025/2026
  5. Matokeo ya Simba vs Petro De Luanda leo 23/11/2025
  6. Wachezaji Wanaowania Tuzo za TFF 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo