Kikosi Cha Simba 2024/2025 | Wachezaji Wote wa Simba

Kikosi Cha Simba 2024/2025 | Wachezaji Wote wa Simba

Simba Sports Club, maarufu kama “Wekundu wa Msimbazi,” au “Makolo” ni klabu ya soka nchini Tanzania yenye historia iliojaa mafanikio makubwa nchini. Kila msimu, mashabiki wa Simba hujazwa na hamasa na matumaini mapya, wakitarajia kuona timu yao ikirejea katika ubora wake na kuendelea kileleni mwa soka la Tanzania na Afrika. Msimu wa 2024/2025 unaanza kwa kishindo, huku kikosi cha Simba kikionekana kuendelea kufanyiwa maboreshi ya kukiweka tayari kwa changamoto mpya za msimu wa 2024/2025.

Mabadiliko kadhaa yamefanyika ndani ya klabu, huku wachezaji wapya wakiwasili na wengine wakiondoka. Mashabiki wa Simba wanasubiri kwa hamu kuona jinsi kikosi kipya kitakavyojipanga na kucheza chini ya uongozi wa benchi la ufundi. Je, Simba itaweza kuibuka kidedea na kuchukua mataji ya Ligi Kuu Bara na Kombe la FA? Je, watafanya vizuri zaidi kwenye michuano ya kimataifa , Kombe la shirikisho Afrika? Haya ni baadhi ya maswali ambayo mashabiki wanajiuliza huku msimu mpya ukianza.

Hapa tumekuletea Kikosi Cha Simba 2024/2025 kikiwa na wachezaji wote wa Simba kujumuisha sajili mpya.

Kikosi Cha Simba 2024/2025 | Wachezaji Wote wa Simba

Kikosi Cha Simba 2024/2025 | Wachezaji Wote wa Simba

 

Makipa Wa Simba Sc 2024/2025

  1. Ally Salim
  2. Aishi Manula
  3. Abel Hussein
  4. Ahmed Feruzi

Mabeki Wa Simba Sc 2024/2025

  1. Israel Patrick Mwenda
  2. Shomari Kapombe
  3. Mohamed Hussein
  4. Hussein Kazi
  5. Che Malone
  6. Henock Inonga

Viungo Wa Simba Sc 2024/2025

  1. Fabrice Ngoma
  2. Essomba Onana
  3. Luis Miquissone
  4. Sadio Kanoute
  5. Abdalla Hamisi
  6. Clatous Chama
  7. Mzamiru Yassin
  8. Aubin Kramo
  9. Babacarr Sarr
  10. 36Ladack Chasambi

Washambuliaji Wa Simba Sc 2024/2025

  1. Pa Omar Jobe
  2. Freddy Koubalan

Mapendekezo Ya Mhariri:

  1. Simba SC Yachagua Ismailia, Misri Kwa Kambi Ya Kujiandaa Na Msimu Mpya
  2. Wachezaji walioachwa na Simba 2024/2025
  3. Wachezaji Waliosajiliwa Simba 2024/2025
  4. Simba Imetangaza Kuachana na Shaban Chilunda
  5. Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2024/2025
  6. Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Simba 2024
  7. Klabu ya Simba Sc Imetangaza Kuachana na Saido Ntibazonkiza
  8. Breaking: Simba SC Yamtema John Bocco
  9. Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Ajiuzulu, Try Again ametangaza kujiuzulu
  10. Tetesi za Usajili simba 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo