Kikosi cha Simba Sc 2025/2026

Kikosi cha Simba Sc 2025/2026

Wekundu wa Msimbazi Simba SC tayari wamekamilisha usajili wa wachezaji kutoka vilabu mbalimbali ili kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa 2025/2026. Msimu huu unatarajiwa kuanza kwa kishindo kupitia Kariakoo Derby, ambapo Simba SC watakutana na watani wao wa jadi Yanga SC katika fainali ya Ngao ya Jamii.

Simba SC wamejipanga upya kwa kuunganisha wachezaji wenye uzoefu, vipaji vipya, pamoja na nyota waliobaki msimu uliopita, lengo likiwa ni kurejesha ubabe wao kwenye ligi kuu ya NBC na mashindano ya kimataifa ya CAF.

Kikosi cha Simba Sc 2025/2026

Walinda Mlango (Goalkeepers)

  1. Moussa Camara
  2. Yakoub Suleiman Ali
  3. Ally Salim

Mabeki (Defenders)

  1. Rushine De Reuck – Centre-Back
  2. Abdulrazack Hamza – Centre-Back
  3. Wilson Nangu – Centre-Back
  4. Chamou Karaboue – Centre-Back
  5. David Kameta – Right-Back
  6. Shomari Kapombe – Right-Back

Viungo wa Kati (Midfielders)

  1. Yusuph Kagoma – Defensive Midfield
  2. Alassane Kanté – Central Midfield
  3. Naby Camara – Central Midfield
  4. Mzamiru Yassin – Central Midfield
  5. Hussein Semfuko – Central Midfield
  6. Neo Maema – Attacking Midfield
  7. Morice Abraham – Attacking Midfield
  8. Jean Charles Ahoua – Attacking Midfield
  9. Awesu Ally Awesu – Attacking Midfield

Winga (Wingers)

  1. Denis Kibu – Left Winger
  2. Salehe Karabaka – Left Winger
  3. Mohammed Bajaber – Left Winger
  4. Joshua Mutale – Right Winger
  5. Valentino Mashaka – Right Winger
  6. Ladaki Chasambi – Right Winger
  7. Elie Mpanzu – Right Winger

Washambuliaji (Forwards)

  1. Steven Mukwala – Centre-Forward
  2. Selemani Mwalimu – Centre-Forward
  3. Jonathan Sowah – Centre-Forward
Picha ya Kikosi cha Simba Sc 2025/2026
Picha ya Kikosi cha Simba Sc 2025/2026

Simba SC wanaingia msimu WA 2025/2026 huu wakiwa na malengo makubwa ya kurejesha heshima yao katika soka la Tanzania na Afrika. Uwepo wa mastaa kama Steven Mukwala, Shomari Kapombe, pamoja na viungo wapya wenye ubora kama Neo Maema na Alassane Kanté unatarajiwa kuongeza nguvu na ubunifu ndani ya kikosi.

Kwa upande wa mashabiki, matarajio ni kuona kikosi kipya kikiendana na kasi ya ushindani wa ligi na kuhakikisha Simba SC inapata matokeo bora dhidi ya wapinzani wao wa jadi na katika michuano ya CAF Champions League.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026
  2. Safari ya Ronaldo Kuelekea Mabao 1000 Yafikia Hatua Mpya Baada Kufunga Dhidi Hungary
  3. Azam FC Yawapa Mkono wa Kwaheri Wanne Kwa Mpigo
  4. Ratiba ya Ngao ya Jamii 2025/2026
  5. Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga
  6. Kikosi cha Timu ya Taifa Wanawake U20 Kilichoitwa Kambini September 2025
  7. Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu ya NBC 2025/2026
  8. Ratiba ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo