Kikosi cha Simba Vs Singida Black Stars Leo 31/05/2025 | Kikosi cha Simba Djhidi ya Singida Bs Leo
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, leo watashuka dimbani kusaka nafasi ya kufuzu kwa fainali nyingine ya Kombe la Shirikisho la CRDB Federation Cup, baada ya safari yao katika fainali za michuano ya kimataifa ya CAF kukwama msimu huu.
Simba SC watawavaa Singida Black Stars katika mchezo wa nusu fainali utakaopigwa katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu burudani ya kandanda safi. Ikiwa Simba SC watapata ushindi katika mchezo huu muhimu, watajikuta wakikutana na wapinzani wao wa jadi, Yanga SC, ambao tayari wametinga fainali baada ya kuwatoa JKT Tanzania. Mchezo huu unatarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa kwani kila timu inalenga nafasi ya kutwaa taji la msimu huu.
Kwa upande wa Singida Black Stars, wanakabiliwa na kibarua kizito cha kutibua rekodi ya Simba SC ambayo imekuwa tishio dhidi yao kwenye michezo ya awali. Hii itakuwa nafasi ya Singida Black Stars kuandika historia mpya kwa mara ya kwanza katika michuano hii.
Kikosi cha Simba Vs Singida Black Stars Leo 31/05/2025
Kikosi rasmi cha Simba kitakachoshuka dimbani leo kinatarajiwa kutangazwa majira ya saa 09:00 alasiri. Tutakuletea orodha kamili ya wachezaji mara tu kocha Faldu Davis atakapokitangaza. Tegemea mchezo wenye ushindani na muto wa kipee, ambapo Singida Bs itakua na jukumu la kuonesha ubabe wake ugenini, huku Simba ikipambana kujieka katika nafasi nzuri ya kumaliza msimu na makombe.
- Simba vs Berkane Leo 25/05/2025 Saa Ngapi?
- Rais Mwinyi Aahidi Mamilioni Kwa Simba Wakishinda Kombe la Shirikisho
- Mamelodi Sundowns Yatoshana Nguvu na Pyramids FC Pretoria
- Taifa Stars Kumenyana Kirafiki na Bafana Bafana Afrika Kusini
- Yanga Yaagana na Stephane Aziz Ki, Aelekea Wydad AC Morocco
- Al-Hilal Yampa Bruno Fernandes Wiki Kujibu Ofa Yao
- Timu Zilizopanda Daraja Ligi Kuu Tanzania 2025/2026
- Ambokile Aitega Mbeya City Baada Ya Kupanda Daraja
Leave a Reply