Kikosi cha Taifa Stars AFCON 2025 | Kikosi cha Tanzania Kilichoitwa AFCON
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Miguel Angel Gamondi, ametangaza rasmi kikosi chenye wachezaji 28 (majina 28) leo Desemba 9, 2025, tayari kwa kambi ya maandalizi ya michuano mikubwa ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) nchini Morocco.
Tangazo hili limethibitisha ‘jeshi’ kamili litakalobeba matumaini ya Watanzania katika mashindano hayo makubwa. Uteuzi huu umegusa wachezaji kutoka vilabu vikubwa vya nyumbani na wale wanaocheza soka la kulipwa nje ya mipaka ya Tanzania.
Orodha Kamili ya Wachezaji 28 Walioitwa na Gamondi Kuunda Kikosi cha Taifa Stars AFCON 2025
Hiki hapa kikosi kamili ambacho Kocha Gamondi amekiita kujiandaa na AFCON 2025. Orodha imeainisha jina la mchezaji na klabu anayochezea:
- Yakoub Suleiman (Simba Sc)
- Hussein Masalanga (Singida Bs)
- Zuberi Foba (Azam Fc)
- Bakari Mwamnyeto (Young Africans)
- Shomari Kapombe (Simba Sc)
- Lusajo Mwaikenda (Azam Fc)
- Mohamed Hussein (Young Africans)
- Nickson Kibabage (Singida Bs)
- Alphonce Mabula (Shamakhi, Azerbaijan)
- Wilson Nangu (Simba Sc)
- Novatus Dismas (Göztepe Fc, Uturuki)
- Kelvin Nashon (Pamba Jiji)
- Pascal Msindo (Azam Fc)
- Ibrahim Abdulla (Young Africans)
- Haji Mnoga (Salford City, Uingereza)
- Dickson Job (Young Africans)
- Habibu Idd (Singida Bs)
- Tarryn Allarakhia (Rochdale Afc, Uingereza)
- Charles M’mombwwa (Floriana Fc, Malta)
- Yusuph Kagoma (Simba Sc)
- Feisal Salum (Azam Fc)
- Morice Abraham (Simba Sc)
- Abdul Suleiman (Azam Fc)
- Iddi Suleiman (Azam Fc)
- Kibu Dennis (Simba Sc)
- Mbwana Samatta (Le Havre Ac, Ufaransa)
- Kelvin John (Aalborg Bk, Denmark)
- Simon Msuva (Al-Talaba, Iraq)
Mapendekezo ya Mhariri:









Leave a Reply