Kikosi cha Tanzania CHAN 2024: Wachezaji Kuingia Kambini Julai 7, 2025
Kikosi cha Tanzania kitakachoingia kambini Julai 7, 2025, Misri kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya CHAN 2024 kimetangazwa rasmi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Michuano hii ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN) itafanyika nchini Kenya, Uganda na Tanzania, huku timu ya Taifa Stars ikianza kambi ya maandalizi mapema nchini Misri.
Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa, kikosi hicho kina wachezaji 30 walioteuliwa kutoka vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na wachezaji chipukizi kutoka timu ya vijana ya Ngorongoro Heroes (U20). Kocha mkuu Hemed Suleiman ameonyesha dhamira ya kuunda kikosi imara chenye mchanganyiko wa uzoefu na vipaji vipya kuelekea kampeni za CHAN 2024.
Majina ya Wachezaji Walioitwa kwenye Kikosi cha Tanzania CHAN 2024
Wachezaji walioitwa kwenye kikosi hicho ni kama ifuatavyo:
🧤 Walinda Mlango:
- Aishi Manula (Simba SC)
- Hussein Masalanga (Singida BS)
- Yakoub Suleiman (JKT Tanzania)
🛡️ Mabeki:
- Shomari Kapombe (Simba SC)
- Lusajo Mwaikenda (Azam FC)
- Mohamed Hussein (Simba SC)
- Paschal Msindo (Azam FC)
- Wilson Nangu (JKT Tanzania)
- Vedastus Masinde (U20 Ngorongoro Heroes/TMA)
- Ahmed Pipino (U20 Ngorongoro Heroes/KMC)
- Yusuph Kagoma (Simba SC)
⚙️ Viungo:
- Ibrahim Hamad (Young Africans)
- Dickson Job (Young Africans)
- Mudathir Yahya (Young Africans)
- Feisal Salum (Azam FC)
- Nassor Saadun (Azam FC)
- Sabry Kondo (Coastal Union)
- Sheikhan Khamis (U20 Ngorongoro Heroes/Young Africans)
- Clement Mzize (Young Africans)
- Mishano Michael (U20 Ngorongoro Heroes/Kengold FC)
- Ibrahim Hamad (Tabora United)
🎯 Washambuliaji:
- Abdulrazack Mohamed (Simba SC)
- Kibu Denis (Simba SC)
- Lameck Lawi (Coastal Union)
- Jammy Simba (U20 Ngorongoro Heroes/KMC)
- Iddy Selemani (Azam FC)
- Abdul Suleiman (Azam FC)
🧠 Kocha Mkuu:
- Hemed Suleiman
Mapendekezo ya Mhariri:
- Yanga Yailaza Simba 2-0 na Kutwaa Kombe la Ligi Kuu Kwa Mara ya 31
- Matokeo ya Yanga Vs Simba Leo 25/06/2025
- Vituo Vya Tiketi Mechi ya Yanga Vs Simba 25/06/2025
- Mechi ya Yanga vs Simba Kupigwa Chini ya Uangalizi wa Waamuzi Kutoka Misri
- Tetesi Za Usajili Simba Leo 2025/2026
- Tetesi Za Usajili Yanga Leo 2025/2026
- Ratiba ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC 22/06/2025
Leave a Reply