Makundi ya Kombe la Mapinduzi 2026
Makundi ya Kombe la Mapinduzi 2026 yamepangwa rasmi, yakionesha mgawanyo wa timu zitakazoshiriki mashindano haya yenye lengo la kuhazimisha siku ya Mapinduzi Zanzibar. Mpangilio huu wa makundi unaweka msingi wa ushindani kuanzia hatua za awali, huku kila kundi likiwa na mchanganyiko wa timu zenye uzoefu na zile zinazotafuta kuthibitisha uwezo wao. Kwa jumla, mashindano yamegawanywa katika makundi matatu, yakitoa fursa sawa kwa kila timu kupambana kusaka nafasi ya kusonga mbele.
Haya Apa Makundi Ya Mapinduzi CUP 2026
Kundi A
- Mlandege FC
- Azam
- Singida BS
- URA FC
Kundi B
- Simba SC
- Muembe Makumbi City
- Fufuni SC
Kundi C
- Yanga SC
- KVZ
- TRA
Mapendekezo ya Mhariri:
- Ratiba ya Mechi za Taifa Stars AFCON 2025
- Taifa Stars Tayari kwa AFCON 2025 Baada ya Kuwasili Morocco
- CV Ya Steve Barker Kocha Mpya wa Simba 2025/2026
- Bei ya Tiketi za Kombe la Dunia 2026 Yazua Mjadala Mkubwa Duniani
- Mchango Mkubwa wa Salah Waipa Liverpool Ushindi Mnono Dhidi ya Brighton
- Timu Nane Zathibitishwa Kushiriki Kombe la Mapinduzi 2026 Zanzibar
- Ratiba Ya AFCON 2025 Hatua Ya Makundi









Leave a Reply