Matokeo Azam FC vs US Yacoub El Mansour Leo (20/07/2024) | Mechi ya Kirafiki
Wana Rambaramba, Klabu ya Azam FC watashuka dimbani leo, Julai 20, 2024, katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Union Sportive Yacoub El Mansour (US Yacoub El Mansour), timu inayoshiriki ligi ya daraja la tatu nchini Morocco. Mtanange huu utafanyika katika kambi ya Benslimane nchini Morocco katika uwanja wa Ziaida Complex, kuanzia saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Mechi hii ya kirafiki ni sehemu ya maandalizi ya Azam FC kuelekea msimu mpya wa soka Tanzania. Mechi hii inatoa fursa muhimu kwa kocha na benchi la ufundi la Azam Fc kutathmini uwezo wa kikosi, kuona maeneo yenye mapungufu, na kufanya marekebisho yoyote yanayohitajika kabla ya kuanza kwa msimu wa soka nchini Tanzania. Hapa Habariform tutakuletea taarifa zote kuhusu mchezo huu wa Azam FC vs US Yacoub El Mansour ikiwemo matokeo ya mechi hii na kikosi cha Azam kitakacho pangwa
Matokeo Azam FC vs US Yacoub El Mansour Leo (20/07/2024)
Azam Fc | 3-0 | US Yacoub El Mansour |
Sidibe ⚽️
Sillah ⚽️
Blanco ⚽️
Angalia Hapa Mechi ya Azam Fc Vs Us Yacoub El Mansour Live
Kikosi Cha Azam Kilichoanza
- Mohamed Mustafa (GK)
- Nathan Chilambu
- Cheikh Sidibe
- Abdallah Kheri
- Yoro Diabate
- Ever Meza
- Djibril Silla
- Adolf Mtasingwa
- Jhonier Blanco
- Fei Toto
- Franck Tiesse
Wachezaji Wa Ziada (Substitutes)
- Foba
- Hamis
- Lusajo
- Fuentes
- Akaminko
- Tepsie
- Saadun
- Nado
- Adam
Mapendekezo ya Mhariri:
- Matokeo ya Yanga vs FC Augsburg Leo 20 Julai 2024: Yaliyojiri Uwanjani
- Kikosi Cha Yanga Vs FC Augsburg Mpumalanga Cup 20/July/2024
- Azam Fc Yasajili Kiungo Mkabaji Kutoka CR Belouizdad
- Jezi Mpya Za Azam Fc 2024/2025
- Wachezaji Wapya Azam 2024/2025 (Wachezaji Waliosajiliwa Azam FC)
- Azam Yatuma Ofa Kwa Simba Kumsajili Kipa Aishi Manula
Weka Komenti