Matokeo Mechi za CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024

Matokeo Mechi za CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024

Michuano ya CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024 imeanza kwa kishindo na inatarajiwa kuvutia mashabiki wengi wa soka kutoka Afrika Mashariki na Kati. Michuano hii, inayojulikana kwa kuleta pamoja timu bora za ukanda huu, imeanza rasmi Julai 9, 2024, kwa mechi nne za awali zitakazochezwa katika viwanja tofauti jijini Dar es Salaam. Msimu huu wa CECAFA Kagame Cup, Timu 12 kutoka Afrika zitaoneshana ubabe kuanzaia katika hatua ya makundi ambapo zimepangwa katika makundi matatu yenye timu 4.

Yafuatayo hapa chini ni makundi ya michuano hii kwa msimu huu wa mwaka 2024.

  • Groups A: Coastal Union FC (Tanzania), Al Wadi FC (Sudan), JKU SC (Zanzibar), Dekedaha FC (Somalia)
  • Group B: Al Hilal (Sudan), Gor Mahia FC (Kenya), Red Arrows FC (Zambia), Djibouti Telecom (Djibouti)
  • Group C: SC Villa (Uganda), APR FC (Rwanda), Singida Black Stars (Tanzania), El Merriekh Bentiu (South Sudan)

Matokeo Mechi za CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024

Kama wewe ni mpenzi wa mpira wa miguu na unatafuta taarifa za kuaminika kuhusu michuano ya CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024, basi hapa Habariforum.com tutakuletea habari zote muhimu na matokeo ya kila mechi ya michuano hii kwa wakati.

Matokeo Mechi za CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024

Matokeo Mechi za Julai 9 2024

  • Al Wadi FC (1-0) JKU, Goli limefungwa na Jebril Mohammed – Dimba la KMC
  • Coastal Union (1-0) Dekedaha FC – Dimba la KMC
  • SC Villa (0-0) Merriekh – Dimba la Chamazi Complex
  • APR FC (1-0) Singida Big Stars – Dimba la Chamazi Complex

Matokeo Mechi za Julai 10 2024

  • AL Hilal Fc (2-0) Djibouti Telecom – Dimba la Azam Complex
  • Gor Mahia Fc (TBD) RedArrows

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Kombe la Toyota Cup 2024: Ratiba, Tarehe na Matokeo
  2. Jinsi Ya Kuangalia Matokeo Ya Kidato Cha Sita 2024
  3. Matokeo Ya Mechi Za Euro 2024
  4. Matokeo ya Safari Champions vs Yanga Sc Leo 29 June 2024
  5. Matokeo na Ratiba ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026
  6. Jinsi ya Kujiunga na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo