Matokeo ya CHAN 2025 Kundi La Tanzania (Kundi B)
Hapa tumekuletea matokeo kamili na ratiba ya CHAN 2025 Kundi la Tanzania (Kundi B), ambalo linajumuisha timu za Taifa za wachezaji wa ndani kutoka Tanzania, Burkina Faso, Madagascar, Mauritania na Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR). Mashindano haya yanafanyika kwa ushirikiano baina ya nchi tatu ambazo ni Kenya, Tanzania na Uganda, yakileta ushindani mkali na burudani ya soka la Afrika.
Kundi B limekuwa na mechi zenye ushindani mkubwa, mabao ya kuvutia na matokeo yaliyobadilisha taswira ya msimamo mara kwa mara. Tanzania ikiwa mwenyeji wa kundi imeanza kwa kasi nzuri, ikiwapa mashabiki matumaini ya kuona timu yao ikivuka hatua ya makundi.
Ratiba na Matokeo ya CHAN 2025 Kundi la Tanzania (Kundi B)
Ratiba na matokeo yote yameorodheshwa kwa saa za Afrika Mashariki (GMT+3).
2 Agosti 2025
- Tanzania 2-0 Burkina Faso | Wafungaji wa Mabao: Abdul Spu (pen 45+3′), Zimbwe Jr. (71′)
3 Agosti 2025
- Madagascar 0-0 Mauritania
6 Agosti 2025
- Burkina Faso 4-2 Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) | Wafungaji Burkina Faso: Nasser Quatarra (11′), Guiro (pen 61′), Malo (pen 78′), Abdoul Baguian (84′) | Wafungaji CAR: Tchibinda (15′), Zoumara (90+5′)
- Mauritania 0-1 Tanzania | Mfungaji Bao: Shomari Salum Kapombe (89′)
9 Agosti 2025
- Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) 0-1 Mauritania | Mfungaji Bao: Ahmed El Moctar Ahmed (9′)
- Tanzania 2-1 Madagascar | Wafungaji Tanzania: Clement Mzize (13′, 20′) | Mfungaji Madagascar: Mika Nantenaina Gregasse Razafimahatana (34′)
13 Agosti 2025
- Madagascar 2-0 Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) | Wafungaji Mabao: Rakotondraibe (84′), Rafanomezantsoa (90+4′)
- Mauritania 1-0 Burkina Faso | Mfungaji Bao: Diop (pen 45+9′)
16 Agosti 2025 (Ratiba)
- Burkina Faso vs Madagascar (20:00)
- Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) vs Tanzania (20:00)
Mapendekezo ya Mhariri:
- Ifahamu Gaborone United Wapinzani wa Simba Ligi ya Mabingwa CAF 2025/2026
- Makundi ya CHAN 2025 Yatangazwa
- Ifahamu Wiliete Benguela Wapinzani wa Yanga CAF 2025/2026
- Simba Yatangaza Bei ya Jezi Zao Mpya za 2025-2026
- Msimamo wa Makundi CHAN 2025
- Ratiba ya Mechi za Leo 12/08/2025 CHAN
- Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026
Leave a Reply