Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2025 (NECTA GATCE Results) | Grade A Teachers Certificate Examination (GATCE)
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2025 (NECTA GATCE Results) pamoja na matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika kati ya Mei 5 hadi 26, 2025. Matokeo haya yametangazwa leo Jumatatu, Julai 7, 2025 visiwani Zanzibar na Katibu Mtendaji wa NECTA, Prof Said Mohamed, katika hafla maalum iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr. Said Mohammed, alibainisha kuwa ufaulu kwa wanafunzi wa shule waliofanya mtihani wa kidato cha sita umefikia asilimia 99.95%, ambapo jumla ya 125,779 kati ya watahiniwa wote wamefaulu. Hii ni ongezeko dogo la ufaulu ukilinganisha na mwaka 2024 ambapo ufaulu ulikuwa 99.92%.
Kwa upande mwingine, watahiniwa 68 pekee sawa na 0.05% hawakufaulu. Hili linadhihirisha juhudi kubwa zinazofanywa katika kuboresha elimu nchini na kuandaa walimu bora wa baadaye kupitia Mitihani ya Ualimu Ngazi ya Cheti (GATCE).
Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2025 (NECTA GATCE Results)
Hapa tumekurahisishia zoezi la kuangalia Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2025 (NECTA GATCE Results) kwa kukuletea viungo vya moja kwa moja vitakavyokuwezesha kuona matokeo yako moja kwa moja. Ili kuangalia matokeo:
🔍 Tafuta jina la chuo kwenye orodha hapa chini kisha bonyeza jina hilo ili kufungua matokeo moja kwa moja.
ALL CENTRES | A | B | C | D | E | F |
G | H | I | J | K | L | M |
N | O | P | Q | R | S | T |
U | V | W | X | Y | Z |
Bofya Jina la Chuo Hapa Chini Kuangalia Matokeo Yake
Mapendekezo ya Mhariri:
- Tarehe ya Kutangazwa kwa Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 na NECTA
- Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 NECTA ACSEE
- Fomu Za Kujiunga Kidato Cha Tano (Form Five Joining Instruction Form) 2025
- Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026 (Form Five Selection)
- Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano Zanzibar 2025
- Majina ya Waliochaguliwa Vyuo Vya Kati 2025/2026 (Selection Vyuo Vya Kati)
- Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025 (Tamisemi Selection)
Leave a Reply