Msimamo Ligi ya Vijana Ya NBC U20 Premier League 2023/2024

Msimamo Ligi ya Vijana Ya NBC U20 Premier League 2023/2024 | Msimamo wa Kundi A Ligi Ya Vijana Tanzania & Msimamo wa Kundi B NBC U20 Premier league 2023/2024

Ligi ya Vijana ya NBC U20 Premier League 2023/2024 imezidi kushika kasi, huku vipaji vibichi vya soka la Tanzania vikiendelea kujipambanua katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Ligi hii, ambayo ni chemchem ya wachezaji nyota wa kesho katika ulimwengu wa soka Tanzania, imekuwa ikitoa msisimko wa hali ya juu, ikiwa na ushindani mkali kati ya timu shiriki.

Msimu huu wa 2023/2024 umekuwa wa kipekee, huku timu kadhaa zikionyesha uwezo mkubwa na kuwashangaza wengi. Katika makala haya, tutaangazia msimamo wa sasa wa ligi ya vijana U20.

Huu Apa Msimamo Ligi ya Vijana Ya NBC U20 Premier League 2023/2024

Msimamo Ligi ya Vijana Ya NBC U20 Premier League 2023/2024

Msimamo wa Kundi A Ligi Ya Vijana
NOTEAMSPWDLGFGAGD 1 PTS
1SIMBA SC22003036
2DOOMA JIJI21011103
3JKT TANZANIA201134-11
4_IHEFU FC201135-21
Msimamo wa Kundi B Ligi Ya Vijana
NOTEAMSPWDLGFGAGDPTS
1AZAM FC21103214
2KAGERA SUGAR21102114
3COASTAL UNION201112-11
4GEITA GOLD201101-11

Ligi Nyingine:

  1. Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2023/24
  2. Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar 2023/2024 PBZ Premier League Table
  3. Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2023/24
  4. Msimamo wa Ligi Kuu Hispania La Liga 2023/2024
  5. Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo