Msimamo wa Ligi Kuu England EPL 2025/2026
Habariforum inakuletea taarifa mpya kuhusu Msimamo wa Ligi Kuu England EPL 2025/2026. Ligi hii, maarufu kama English Premier League (EPL), imejipatia sifa ya kipekee duniani kutokana na ushindani mkali, ubora wa wachezaji, na umaarufu wa vilabu vinavyoshiriki.
Kila msimu, timu kubwa kama Manchester City, Liverpool, Arsenal, Chelsea, Manchester United, na Tottenham Hotspur hujizatiti kuhakikisha zinabaki kileleni, huku timu zingine zikihangaika kutafuta nafasi ya kushiriki mashindano ya Ulaya au kuepuka kushuka daraja.
Msimu huu wa 2025/2026, mashabiki wanatarajia burudani zaidi na michezo yenye mvuto wa aina yake, kwani kila timu imejipanga upya kwa malengo makubwa. Swali linalobaki kwa mashabiki na wachambuzi wa soka ni: ni klabu ipi itaibuka bingwa, na zipi zitakazopigania kuendelea kubaki EPL? Endelea kufuatilia hapa kwa uchambuzi wa kina na taarifa sahihi kila wiki kuhusu msimamo wa ligi.
Huu Apa Ndio Msimamo wa Ligi Kuu England EPL 2025/2026
Nafasi | Klabu | MP | W | D | L | GF | GA | GD | Pts |
1 | Man City | 1 | 1 | 0 | 0 | 4 | 0 | 4 | 3 |
2 | Sunderland | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 | 0 | 3 | 3 |
3 | Tottenham | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 | 0 | 3 | 3 |
4 | Liverpool | 1 | 1 | 0 | 0 | 4 | 2 | 2 | 3 |
5 | Nottm Forest | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 | 1 | 2 | 3 |
6 | Arsenal | 1 | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 1 | 3 |
7 | Brighton | 1 | 0 | 1 | 0 | 1 | 1 | 0 | 1 |
8 | Fulham | 1 | 0 | 1 | 0 | 1 | 1 | 0 | 1 |
9 | Aston Villa | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 |
10 | Chelsea | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 |
11 | Crystal Palace | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 |
12 | Newcastle | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 |
13 | Everton | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
14 | Leeds United | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
15 | Man United | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 1 | -1 | 0 |
16 | Bournemouth | 1 | 0 | 0 | 1 | 2 | 4 | -2 | 0 |
17 | Brentford | 1 | 0 | 0 | 1 | 1 | 3 | -2 | 0 |
18 | Burnley | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 3 | -3 | 0 |
19 | West Ham | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 3 | -3 | 0 |
20 | Wolves | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 4 | -4 | 0 |
Nafasi za 1, 2, 3, 4: Kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA)
Nafasi ya 5: Kufuzu Ligi ya Europa
Nafasi za 18, 19, 20: Kushushwa daraja
Maelezo Kuhusu Jedwali la Msimamo wa Ligi Kuu England 2024/25
- GP: Mechi Zilizochezwa
- W: Ushindi
- D: Sare
- L: Kupoteza
- GF: Mabao Ya Kufunga
- GA: Mabao Ya Kufungwa
- GD: Tofauti Ya Magoli
- Pts: Pointi
Mapendekezo ya Mhariri:
- Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025 | Mechi za Robofainali CHANI
- Timu zilizofuzu Robo Fainali CHAN 2024
- Man United Yaanza Safari ya EPL 2025/26 kwa Kupoteza Dhidi ya Arsenal
- Taifa Stars Kukutana na Morocco Robo Fainali ya CHAN 2025
- Madagascar Yatinga Robo Fainali Baada ya Ushindi wa 2-1 Dhidi ya Burkina Faso
- Ratiba ya Mechi za Leo 17/08/2025 CHAN
Leave a Reply