Jezi Mpya ya KMC Fc 2024/2025: Klabu ya Kinondoni Municipal Council FC almaharafu kama KMC FC kutokea Kinomdoni imezindua rasmi jezi zake mpya watakazo zitumia katika msimu wa 2024-2025 Ligi kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuanza rasmi Agosti 16. Jezi hizo zinapatikana katika rangi kuu mbili: bluu, kijani na nyekundu.
Hizi apa Picha za Jezi Mpya ya KMC Fc 2024/2025
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti