Picha za Jezi Mpya za Pamba Fc 2024/2025
Klabu ya Pamba Jiji Fc ya Jijini Mwanza inayoshiriki michuano ya ligki kuu ya NBC Tanzania leo imezindua rasmi zao mpya ambazo zitatumika msimu wa 2024/2025. Jezi watakazo vaa Pamba Fc msimu huu wa 2024/2025 ni za kijani kwa michezo ya nyumbani, jezi ya ugenini ni rangi nyeupe na jezi ya tatu rangi ya blue bahari.
Jezi Mpya za Pamba Fc 2024/2025 Ugenini
Jezi ya Tatu Pamba Fc 2024/2025
Mapendekezo ya Mhariri:
- Ishu ya Joshua Mutale na Jezi ya Kombe la Shirikisho CAF
- Picha za Jezi Mpya za Dodoma Jiji 2024/2025
- Picha za Jezi Mpya za Taifa Stars 2024/2025
- Manuel Ugarte Apewa Jezi Namba 25 ya Man United, Jezi ya Zamani ya Jadon Sancho
- Hizi Apa Picha za Jezi Mpya ya Namungo Fc 2024/2025
- Hizi apa Picha za Jezi Mpya ya KMC Fc 2024/2025
Weka Komenti