Pot za Makundi ya Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025

Pot za Makundi ya Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025

Michuano ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/2025 imefika hatua muhimu baada ya kukamilika kwa raundi ya awali. Timu bora za soka barani Afrika zilizofanikiwa kuvuka hatua hii sasa zinajiandaa kwa hatua ya makundi, ambayo inatazamiwa kuleta burudani ya kipekee. Droo ya kupanga mechi za makundi inatarajiwa kufanyika tarehe 7 Oktoba 2024, huku timu zikisubiri kujua wapinzani wao watakaokutana nao katika safari ya kuwania taji la ubingwa.

Pot za Makundi ya Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025

Timu zinazoshiriki hatua ya makundi zimepangwa katika POT nne, kulingana na viwango vyao vya ubora. Hapa chini ni orodha ya POT za Klabu Bingwa Afrika msimu huu wa 2024/2025:

Pot 1:

  • Al Ahly
  • Esperance
  • Mamelodi Sundowns
  • TP Mazembe

Pot 2:

  • CR Belouizdad
  • Raja Club Athletic
  • Young Africans
  • Pyramids FC

Pot 3:

  • Al Hilal
  • Orlando Pirates
  • Sagrada Esperança
  • ASFAR

Pot 4:

  • MC Alger
  • Djoliba
  • Maniema Union
  • Stade d’Abidjan

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Timu zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
  2. Timu zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025
  3. Msimamo NBC Premier league 2024/2025 | Ligi Kuu Bara
  4. Timu Zilizofuzu Makundi CAF 2024/2025
  5. Vilabu Bora Afrika 2024/2025 (CAF Club Ranking)
  6. CAF Yatangaza Tarehe ya Droo Ya Makundi 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo