Ratiba Ya AFCON 2025 Hatua Ya Makundi

Ratiba Ya AFCON 2025 Hatua Ya Makundi

Michuano ya AFCON 2025 inatarajiwa kuanza kutia vumbi Disemba 21 nchini Morocco, ambapo timu 24 zitachuana katika hatua ya makundi, zikisaka nafasi ya kusonga mbele hadi hatua ya mtoano. Ratiba hii imepangwa kutoa mfululizo wa michezo mikali, huku mataifa makubwa yakikabiliana na changamoto za mapema katika safari ya kutafuta ubingwa wa Afrika.

Hapo chini ni mwongozo kamili na wenye maelezo ya kina kuhusu Ratiba Ya AFCON 2025 Hatua Ya Makundi, ikiwemo tarehe, muda wa mechi na pambano husika kulingana na taarifa rasmi zilizopo kwenye ratiba ya mashindano.

Jumapili • 21 Desemba 2025

  • Morocco vs Comoros – 4:00 Usiku

Jumatatu • 22 Desemba 2025

  • Mali vs Zambia – 11:00 Jioni
  • Afrika Kusini vs Angola – 2:00 Usiku
  • Misri vs Zimbabwe – 5:00 Usiku

Jumanne • 23 Desemba 2025

  • Congo DR vs Benin – 9:30 Alasiri
  • Senegal vs Botswana – 12:00 Jioni
  • Nigeria vs Tanzania – 2:30 Usiku
  • Tunisia vs Uganda – 5:00 Usiku

Jumatano • 24 Desemba 2025

  • Burkina Faso vs Equatorial Guinea – 9:30 Alasiri
  • Algeria vs Sudan – 12:00 Jioni
  • Ivory Coast vs Msumbiji – 2:30 Usiku
  • Cameroon vs Gabon – 5:00 Usiku

Ijumaa • 26 Desemba 2025

  • Angola vs Zimbabwe – 9:30 Alasiri
  • Misri vs Afrika Kusini – 12:00 Jioni
  • Zambia vs Comoros – 2:30 Usiku
  • Morocco vs Mali – 5:00 Usiku

Jumamosi • 27 Desemba 2025

  • Benin vs Botswana – 9:30 Alasiri
  • Senegal vs Congo DR – 12:00 Jioni
  • Uganda vs Tanzania – 2:30 Usiku
  • Nigeria vs Tunisia – 5:00 Usiku

Jumapili • 28 Desemba 2025

  • Gabon vs Msumbiji – 9:30 Alasiri
  • Equatorial Guinea vs Sudan – 12:00 Jioni
  • Algeria vs Burkina Faso – 2:30 Usiku
  • Ivory Coast vs Cameroon – 5:00 Usiku

Ratiba Ya AFCON 2025 Hatua Ya Makundi

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Kikosi cha Taifa Stars AFCON 2025
  2. Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2025/2026
  3. Ratiba ya Mechi za Leo 07/12/2025 Ligi Kuu ya NBC
  4. Makundi ya Kombe la Dunia 2026
  5. TFF Yatangaza Kikosi cha Awali cha Taifa Stars kwaajili ya Fainali za AFCON 2025 Morocco
  6. Ratiba ya Kombe la Shirikisho CRDB Federation Cup 2025/2026
  7. Msimamo Wa Championship Ligi Daraja la Kwanza Tanzania 2025/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo