Ratiba ya Arsenal 2024/2025

Ratiba ya Arsenal 2024/2025 Ligi Kuu EPL | Ratiba ya mechi za Arsenal 2024/25

Katika msimu wa 2024/2025, klabu ya Arsenal inatarajiwa kucheza mechi kadhaa muhimu katika Ligi Kuu ya Uingereza, Kombe la Carabao, na Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mashabiki wa Arsenal wanatarajia kuona timu yao ikipambana kufikia mafanikio katika michuano yote. Hii hapa ratiba kamili ya mechi za Arsenal kwa msimu huu:

Ratiba ya Arsenal 2024/2025

Ratiba ya Arsenal 2024/2025

Septemba 2024

  • 15 Septemba: Tottenham Hotspur vs Arsenal, Saa 4:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 17 Septemba: Arsenal vs Bolton Wanderers, Saa ya Mchezo Bado Haijathibitishwa, Kombe la Carabao
  • 19 Septemba: Atalanta vs Arsenal, Saa 4:00 Usiku, Ligi ya Mabingwa Ulaya
  • 22 Septemba: Manchester City vs Arsenal, Saa 7:30 Mchana, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 28 Septemba: Arsenal vs Leicester City, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza

Oktoba 2024

  • 1 Oktoba: Arsenal vs Paris Saint-Germain, Saa 10:00 Usiku, Ligi ya Mabingwa Ulaya
  • 5 Oktoba: Arsenal vs Southampton, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 20 Oktoba: AFC Bournemouth vs Arsenal, Saa 4:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 22 Oktoba: Arsenal vs Shakhtar Donetsk, Saa 10:00 Usiku, Ligi ya Mabingwa Ulaya
  • 27 Oktoba: Arsenal vs Liverpool, Saa 7:30 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza

Novemba 2024

  • 2 Novemba: Newcastle United vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 6 Novemba: Internazionale vs Arsenal, Saa 11:00 Usiku, Ligi ya Mabingwa Ulaya
  • 9 Novemba: Chelsea vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 23 Novemba: Arsenal vs Nottingham Forest, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 26 Novemba: Sporting CP vs Arsenal, Saa 11:00 Usiku, Ligi ya Mabingwa Ulaya
  • 30 Novemba: West Ham United vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza

Desemba 2024

  • 3 Desemba: Arsenal vs Manchester United, Saa 10:45 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 7 Desemba: Fulham vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 11 Desemba: Arsenal vs AS Monaco, Saa 11:00 Usiku, Ligi ya Mabingwa Ulaya
  • 14 Desemba: Arsenal vs Everton, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 21 Desemba: Crystal Palace vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 26 Desemba: Arsenal vs Ipswich Town, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 29 Desemba: Brentford vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza

Januari 2025

  • 4 Januari: Brighton & Hove Albion vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 14 Januari: Arsenal vs Tottenham Hotspur, Saa 10:45 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 18 Januari: Arsenal vs Aston Villa, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 22 Januari: Arsenal vs Dinamo Zagreb, Saa 11:00 Usiku, Ligi ya Mabingwa Ulaya
  • 25 Januari: Wolverhampton Wanderers vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 29 Januari: Girona vs Arsenal, Saa 11:00 Usiku, Ligi ya Mabingwa Ulaya

Februari 2025

  • 1 Februari: Arsenal vs Manchester City, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 15 Februari: Leicester City vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 22 Februari: Arsenal vs West Ham United, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 25 Februari: Nottingham Forest vs Arsenal, Saa 10:45 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza

Machi 2025

  • 8 Machi: Manchester United vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 15 Machi: Arsenal vs Chelsea, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza

Aprili 2025

  • 1 Aprili: Arsenal vs Fulham, Saa 9:45 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 5 Aprili: Everton vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 12 Aprili: Arsenal vs Brentford, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 19 Aprili: Ipswich Town vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 26 Aprili: Arsenal vs Crystal Palace, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza

Mei 2025

  • 3 Mei: Arsenal vs AFC Bournemouth, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 10 Mei: Liverpool vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 18 Mei: Arsenal vs Newcastle United, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza
  • 25 Mei: Southampton vs Arsenal, Saa 5:00 Usiku, Ligi Kuu ya Uingereza

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Ratiba ya Manchester United 2024/2025
  2. Ten Hag Asisitiza Manchester United Yalenga Mataji Licha ya Mwanzo Mbaya
  3. ‘Huu ni Msimu Wangu wa Mwisho Liverpool’ – Mohamed Salah
  4. Mohamed Salah Awaongoza Liverpool Kuizamisha Manchester United
  5. Mbappe Avunja Ukame wa Magoli, Afunga Bao Lake La Kwanza La Liga
  6. Ratiba ya Mechi za Leo Septemba 02 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo