Ratiba ya CHAN 2024/2025 | CAF African Nations Championship
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kwa kushirikiana na Kamati za Maandalizi za wenyeji watatu Tanzania, Kenya na Uganda limetangaza rasmi Ratiba ya CHAN 2024/2025, ambapo michuano hiyo mikubwa ya wachezaji wa ligi za ndani barani Afrika itaanza rasmi tarehe 2 Agosti 2025 jijini Dar es Salaam.
📅 Mchezo wa Ufunguzi: Tanzania vs Burkina Faso – Agosti 2
Mashindano haya yataanza kwa kishindo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ambapo Tanzania (Taifa Stars) watafungua pazia kwa kuvaana na Burkina Faso saa 2:00 usiku (EAT). Huu ni mchezo wa Kundi B unaotarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wengi, hasa kwa kuwa Tanzania ni mmoja wa wenyeji wa michuano hii.
Muundo wa Makundi na Mechi za Mwanzo – Ratiba ya CHAN 2024/2025
Ratiba ya Mechi za Kundi A CHAN 2024/2025
Uwanja: Moi International Sports Centre & Nyayo Stadium – Nairobi, Kenya
Timu: Kenya, Morocco, Angola, DR Congo, Zambia
🗓️ Agosti 3
- Kenya vs DR Congo – Saa 9:00 alasiri
- Morocco vs Angola – Saa 12:00 jioni
🗓️ Agosti 6
- Kenya vs Morocco – Saa 9:00 alasiri
🗓️ Agosti 9
- Zambia vs DR Congo – Saa 1:00 usiku
🗓️ Agosti 13
- DR Congo vs Morocco – Saa 2:00 usiku
🗓️ Agosti 15
- Zambia vs Angola – Saa 1:00 usiku
🗓️ Agosti 18
- DR Congo vs Zambia – Saa 2:00 usiku
Ratiba ya Mechi za Kundi B CHAN 2024/2025
Uwanja: Benjamin Mkapa Stadium – Dar es Salaam, Tanzania
Timu: Tanzania, Burkina Faso, Madagascar, Mauritania, Central African Republic (CAR)
🗓️ Agosti 2
- Tanzania vs Burkina Faso – Saa 2:00 usiku
🗓️ Agosti 3
- Madagascar vs Mauritania – Saa 2:00 usiku
🗓️ Agosti 5
- Tanzania vs CAR – Saa 1:00 usiku
🗓️ Agosti 7
- CAR vs Madagascar – Saa 11:00 jioni
🗓️ Agosti 9
- CAR vs Mauritania – Saa 9:00 alasiri
🗓️ Agosti 13
- Burkina Faso vs Madagascar – Saa 11:00 jioni
🗓️ Agosti 17
- Burkina Faso vs Mauritania – Saa 1:00 usiku
Ratiba ya Mechi za Kundi C CHAN 2024/2025
Uwanja: Mandela National Stadium – Kampala, Uganda
Timu: Uganda, Niger, Guinea, Algeria, South Africa
🗓️ Agosti 4
- Niger vs Guinea – Saa 11:00 jioni
- Uganda vs Algeria – Saa 2:00 usiku
🗓️ Agosti 7
- Guinea vs Algeria – Saa 11:00 jioni
🗓️ Agosti 10
- South Africa vs Niger – Saa 2:00 usiku
🗓️ Agosti 13
- Nigeria vs Guinea – Saa 2:00 usiku
🗓️ Agosti 16
- South Africa vs Uganda – Saa 2:00 usiku
Ratiba ya Mechi za Kundi D CHAN 2024/2025
Uwanja: Amaan Stadium – Zanzibar, Tanzania
Timu: Senegal, Congo, Sudan, Nigeria
🗓️ Agosti 5
- Senegal vs Congo – Saa 2:00 usiku
🗓️ Agosti 6
- Sudan vs Nigeria – Saa 2:00 usiku
🗓️ Agosti 10
- Congo vs Nigeria – Saa 2:00 usiku
🗓️ Agosti 13
- Sudan vs Senegal – Saa 2:00 usiku
Mapendekezo ya Mhariri:
- Timu Zilizofuzu Hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia la Vilabu 2025
- Wydad Casablanca Yafungashiwa Virago Kombe la Dunia Bila Pointi
- Asante Kotoko Yachukua Nafasi ya Yanga Kombe la Toyota Afrika Kusini
- Milos Kerkez Ajiunga Rasmi na Liverpool kwa Ada ya Pauni Milioni 40
- Christian Eriksen Aondoka Man United Baada ya Utumishi wa Miaka Mitatu
- Kikosi cha Tanzania CHAN 2024: Wachezaji Kuingia Kambini Julai 7, 2025
- Yanga Yailaza Simba 2-0 na Kutwaa Kombe la Ligi Kuu Kwa Mara ya 31
- Vituo Vya Tiketi Mechi ya Yanga Vs Simba 25/06/2025
Leave a Reply