Ratiba ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025 Hatua ya 16 Bora
Michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025 inaendelea kutoa burudani ya soka safi kwa mashabiki duniani kote, huku hatua ya 16 bora ikiwa imepangwa rasmi. Mashabiki sasa wanahesabu saa kwa hamu wakisubiri mechi hizi muhimu ambazo zitawakutanisha vigogo wa soka kutoka mabara tofauti. Hii ni mara ya kwanza kwa mashindano haya kupanuliwa kwa kiwango kikubwa hivyo, yakijumuisha vilabu maarufu kama Real Madrid, Manchester City, Bayern Munich, na mengine kutoka Amerika Kusini, Ulaya, Asia, na CONCACAF.
Katika makala hii, tutakuonyesha kwa undani Ratiba ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025 Hatua ya 16 Bora, muda wa michezo, pamoja na klabu zitakazokutana katika hatua hii ya kusisimua.
Ratiba ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025 Hatua ya 16 Bora
Jumamosi, 28 Juni 2025
- Mchezo wa Kwanza: Saa 1:00 Usiku (19:00)
- Mchezo wa Pili: Saa 5:00 Usiku (23:00)
Jumapili, 29 Juni 2025
- Mchezo wa Tatu: Saa 1:00 Usiku (19:00)
- Mchezo wa Nne: Saa 5:00 Usiku (23:00)
Jumatatu, 30 Juni 2025
- Mchezo wa Tano: Saa 4:00 Usiku (22:00)
Jumanne, 1 Julai 2025
- Mchezo wa Sita: Saa 10:00 Alfajiri (04:00)
- Mchezo wa Saba: Saa 4:00 Usiku (22:00)
Jumatano, 2 Julai 2025
- Mchezo wa Nane: Saa 10:00 Alfajiri (04:00)
Mapendekezo ya Mhariri:
- Timu Zilizofuzu Hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia la Vilabu 2025
- Wydad Casablanca Yafungashiwa Virago Kombe la Dunia Bila Pointi
- Asante Kotoko Yachukua Nafasi ya Yanga Kombe la Toyota Afrika Kusini
- Milos Kerkez Ajiunga Rasmi na Liverpool kwa Ada ya Pauni Milioni 40
- Christian Eriksen Aondoka Man United Baada ya Utumishi wa Miaka Mitatu
- Kikosi cha Tanzania CHAN 2024: Wachezaji Kuingia Kambini Julai 7, 2025
- Yanga Yailaza Simba 2-0 na Kutwaa Kombe la Ligi Kuu Kwa Mara ya 31
- Vituo Vya Tiketi Mechi ya Yanga Vs Simba 25/06/2025
Leave a Reply