Ratiba ya Kombe la Shirikisho CRDB Federation Cup 2025/2026

Ratiba ya Kombe la Shirikisho CRDB Federation Cup 2025/2026

Michuano ya Kombe la FA Tanzania, maarufu kama Kombe la CRDB Federation Cup, hatimaye kurejea kwa msimu wa 2025/2026 na kuleta tena hamasa katika soka la ndani. Ratiba ya raundi ya kwanza iliyotangazwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF imebainisha mpangilio wa mechi zinazotarajiwa kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, zikihusisha timu kutoka ngazi na mikoa tofauti. Mashindano haya yameendelea kuwa jukwaa muhimu kwa klabu kuonyesha uwezo wao, huku mashabiki wakisubiri kuona safari ya timu kadhaa inaanzia wapi msimu huu.

Ratiba ya Kombe la Shirikisho CRDB Federation Cup 2025/2026 – Raundi ya Kwanza

Mechi za 18 Desemba 2025

16:00 – Pan African (FL, Dar) vs Bagamoyo Sugar (FAR, Pwani)
Uwanja: Mabatini – Pwani

16:00 – Mapinduzi FC (FL, Mwanza) vs Buhare FC (RCL, Mara)
Uwanja: Nyamagana – Mwanza


Mechi za 19 Desemba 2025

Rhino Rangers (RCL, Tabora) vs Winners M#1 (TBC)
Uwanja: Ali Hassan – Tabora

Moro Kids (FL, Morogoro) vs Winners #2 (TBC)
Uwanja: Jamhuri – Morogoro

Dew Drop (RCL, Rukwa) vs Dhujaa FC (FAR, Katavi)
Uwanja: Mandela – Rukwa

Home Boys (RCL, Katavi) vs THB (FAR, Katavi)
Uwanja: Kwatawi – Katavi

Kyla SC (FL, Mbeya) vs Kijiwe Nongwa (FAR, Mbeya)
Uwanja: Sokoine – Mbeya

The Green FC (RCL, Songwe) vs Masandawana FC (FAR, Songwe)
Uwanja: Mkwajuni – Songwe

Tanesco Iringa (RCL, Iringa) vs Chama la Wana (FAR, Njombe)
Uwanja: Samora – Iringa

Vijana SC (FL, Njombe) vs Young Star (FAR, Njombe)
Uwanja: Amani – Njombe

Cosmopolitan FC (FL, Dar) vs Tandiko United (FAR, Dar)
Uwanja: Jamhuri – Morogoro

Magnet FC (FL, Mwanza) vs Bara FC (FAR, Simiyu)
Uwanja: Mabatini – Mwanza


Mechi za 20 Desemba 2025

Mighty Elephant (RCL, Ruvuma) vs Poja FC (FAR, Ruvuma)
Uwanja: Majimaji – Ruvuma

Mnazi Mmoja (FL, Lindi) vs Newala FC (FAR, Mtwara)
Uwanja: Ilulu – Lindi

Bandari Tanzania (RCL, Mtwara) vs Rajam FC (FAR, Mtwara)
Uwanja: Nangwanda – Mtwara

Nkim FC (FL, Tanga) vs Senior Hope FC (RCL, Arusha)
Uwanja: Mkwakwani – Tanga

IAA SC (RCL, Arusha) vs Matiu SC (FAR, Arusha)
Uwanja: Armi Abei – Arusha

Endumenti FC (RCL, Kilimanjaro) vs Mzingani Warriors (FAR, K’njaro)
Uwanja: Ushirika – Kilimanjaro

Kajuna FC (RCL, Geita) vs Geita Institute (FAR, Geita)
Uwanja: Geitamanyika – Geita

Nyakagwe Stars (RCL, Geita) vs Airport FC (FAR, Geita)
Uwanja: Nyankumbu – Geita

Greenland FC (RCL, Kagera) vs Leo Team FC (FAR, Kagera)
Uwanja: Kaitaba – Kagera

Green Warriors (FL, Dar) vs Magereza FC (FAR, Pwani)
Uwanja: Mabibo – Pwani

Dar City (FL, Dar) vs Nyika FC (FAR, Simiyu)
Uwanja: Karume – Mara

Biashara United (RCL, Mara) vs Bariadi United (RCL, Simiyu)
Uwanja: Karume – Mara

Alliance FC (FL, Mwanza) vs Mshikamano FC (FAR, Simiyu)
Uwanja: Nyamagana – Mwanza


Mechi za 21 Desemba 2025

K’njaro Wonders (FAR, Kilimanjaro) vs ACA Eagle (FAR, Manyara)
Uwanja: Manyara – Kilimanjaro

Nyumbu FC (RCL, Pwani) vs Super Black Six (FAR, Singida)
Uwanja: Mabatini – Pwani

Simiyu Veterans (RCL, Simiyu) vs West Singers (FAR, Singida)
Uwanja: Ng’hoboko – Simiyu

Copoco FC (RCL, Simiyu) vs Mlimani FC (FAR, Mwanza)
Uwanja: Nyamagana – Mwanza

Mbao FC (RCL, Mwanza) vs Toto Africans (FAR, Mwanza)
Uwanja: U/Taifa – Mwanza

Magic Pressure (RCL, Singida) vs Kilimo FC (FAR, Singida)
Uwanja: Airtel – Singida

Kilombero SA (RCL, Morogoro) vs FGA Talents (FAR, Morogoro)
Uwanja: Jamhuri – Morogoro

Ratiba ya Kombe la Shirikisho CRDB Federation Cup 2025/2026

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Msimamo Wa Championship Ligi Daraja la Kwanza Tanzania 2025/2026
  2. Msimamo wa Kundi la Azam Kombe la Shirikisho CAF 2025/2026
  3. Simba Yachezea Kichapo cha Pili Mfululizo Makundi Klabu Bingwa
  4. Singida BS Yapata Pointi ya Kwanza Makundi Kombe la Shirikisho CAF
  5. Matokeo ya Stade Malien vs Simba leo 30/11/2025
  6. Kikosi cha Simba vs Stade Malien leo 30/11/2025
  7. Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 30/11/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo