Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026 | Ratiba ya NBC Premier league 2025/26

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara TPLB imetangaza rasmi Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026, msimu mpya unaotarajiwa kuanza Jumatano, Septemba 17, 2025 na kumalizika Jumamosi, Mei 23, 2026. Ratiba hii imetolewa Agosti 29, 2025 na imezingatia kalenda ya FIFA, mashindano ya CAF na michuano ya ndani, jambo linalolenga kuruhusu klabu kushiriki bila migongano ya tarehe.

Mchezo wa kwanza utawakutanisha KMC FC dhidi ya Dodoma Jiji FC kwenye uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam, huku mchezo mwingine wa ufunguzi ukiwa kati ya Coastal Union na Tanzania Prisons Mkwakwani, Tanga. Aidha, mchezo wa Ngao ya Jamii (Community Shield) kati ya watani wa jadi Simba SC na Yanga SC utafanyika Septemba 16, 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026

Mechi Muhimu za Kuanza Msimu wa Ligi Kuu 2025/2025

Ratiba ya Round ya Kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026 inatarajiwa kuanza kwa kishindo siku ya Jumatano, Septemba 17, 2025, ambapo mashabiki wataanza kushuhudia ushindani wa timu 16 zinazowania ubingwa wa msimu huu.

Hizi ndizo mechi zote za raundi ya kwanza:

Jumatano, Septemba 17, 2025

  • KMC FC vs Dodoma Jiji – Saa 10:00 jioni, KMC Complex (Dar es Salaam)
  • Coastal Union vs Tanzania Prisons – Saa 1:00 usiku, Mkwakwani (Tanga)

Alhamisi, Septemba 18, 2025

  • Fountain Gate vs Mbeya City – Saa 8:00 mchana, Tanzanite Kwaraa (Manyara)
  • Mashujaa FC vs JKT Tanzania – Saa 10:15 jioni, Lake Tanganyika (Kigoma)
  • Namungo FC vs Pamba Jiji – Saa 1:00 usiku, Majaliwa (Lindi)

Jumatano, Oktoba 29, 2025

  • Young Africans SC vs Mtibwa Sugar – Saa 1:00 usiku, Benjamin Mkapa (Dar es Salaam)

Alhamisi, Oktoba 30, 2025

  • Tabora United vs Simba SC – Saa 10:00 jioni, Ali Hassan Mwinyi (Tabora)
  • Azam FC vs Singida Black Stars – Saa 1:00 usiku, Azam Complex (Dar es Salaam)

Mechi za Vigogo wa Soka Tanzania

  1. Mabingwa watetezi Yanga SC wataanza safari yao Oktoba 29, 2025 dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
  2. Simba SC wataanza kampeni zao siku moja baadaye, Oktoba 30, 2025, wakiwa ugenini dhidi ya Tabora United katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.
  3. Kwa upande wa Azam FC, watakuwa wenyeji wa Singida Black Stars mnamo Oktoba 30, 2025 katika uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Muhtasari wa Msimu 2025/2026

  • Tarehe ya Kuanza: 17 Septemba 2025
  • Tarehe ya Kumalizika: 23 Mei 2026
  • Idadi ya Timu: 16
  • Jumla ya Michezo: Mizunguko 30
  • Mabingwa Watetezi: Yanga SC
  • Dirisha Dogo la Usajili: 16 Desemba 2025 – 15 Januari 2026

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026 | Ratiba ya NBC Premier league 2025/26

ROUND 1
1 Wednesday, September 17, 2025 KMC FC vs Dodoma Jiji 1600hrs KMC Complex
2 Wednesday, September 17, 2025 Coastal Union vs Tanzania Prisons 1900hrs Mkwakwani
3 Thursday, September 18, 2025 Fountain Gate vs Mbeya City 1400hrs Tanzanite Kwaraa
4 Thursday, September 18, 2025 Mashujaa FC vs JKT Tanzania 1615hrs Lake Tanganyika
5 Thursday, September 18, 2025 Namungo FC vs Pamba Jiji 1900hrs Majaliwa
6 Wednesday, October 29, 2025 Young Africans SC vs Mtibwa Sugar 1900hrs Benjamin Mkapa
7 Thursday, October 30, 2025 Tabora United vs Simba SC 1600hrs Ali Hassan Mwinyi
8 Thursday, October 30, 2025 Azam FC vs Singida Black Stars 1900hrs Azam Complex
ROUND 2
9 Saturday, September 20, 2025 Tabora United vs Dodoma Jiji 1600hrs Ali Hassan Mwinyi
10 Sunday, September 21, 2025 Mashujaa FC vs Mtibwa Sugar 1600hrs Lake Tanganyika
11 Sunday, September 21, 2025 Namungo FC vs Tanzania Prisons 1900hrs Majaliwa
12 Monday, September 22, 2025 Coastal Union vs JKT Tanzania 1900hrs Mkwakwani
13 Tuesday, September 23, 2025 KMC FC vs Singida Black Stars 1600hrs KMC Complex
14 Wednesday, September 24, 2025 Young Africans SC vs Pamba Jiji 1900hrs Benjamin Mkapa
15 Wednesday, September 24, 2025 Azam FC vs Mbeya City 2100hrs Azam Complex
16 Thursday, September 25, 2025 Simba SC vs Fountain Gate 1600hrs KMC Complex
ROUND 3
17 Saturday, September 27, 2025 Tanzania Prisons vs KMC FC 1600hrs Sokoine
18 Saturday, September 27, 2025 Dodoma Jiji vs Coastal Union 1900hrs Jamhuri
19 Sunday, September 28, 2025 Mtibwa Sugar vs Fountain Gate 1615hrs Jamhuri
20 Sunday, September 28, 2025 Pamba Jiji vs Tabora United 1400hrs CCM Kirumba
21 Tuesday, September 30, 2025 Singida Black Stars vs Mashujaa FC 1400hrs CCM Liti
22 Tuesday, September 30, 2025 Mbeya City vs Young Africans SC 1615hrs Sokoine
23 Wednesday, October 1, 2025 JKT Tanzania vs Azam FC 1900hrs Mej. Jen Isamuhyo
24 Wednesday, October 1, 2025 Simba SC vs Namungo FC 1600hrs KMC Complex
ROUND 4
25 Friday, October 17, 2025 Pamba Jiji vs Mashujaa FC 1400hrs CCM Kirumba
26 Friday, October 17, 2025 Fountain Gate vs Dodoma Jiji 1615hrs Tanzanite Kwaraa
27 Saturday, October 18, 2025 KMC FC vs Mbeya City 1600hrs KMC Complex
28 Sunday, October 19, 2025 Mtibwa Sugar vs Coastal Union 1600hrs Jamhuri
29 Sunday, October 19, 2025 JKT Tanzania vs Namungo FC 1900hrs Mej. Jen Isamuhyo
30 Saturday, November 1, 2025 Tanzania Prisons vs Young Africans SC 1600hrs Sokoine
31 Sunday, November 2, 2025 Simba SC vs Azam FC 1600hrs KMC Complex
32 Monday, November 3, 2025 Singida Black Stars vs Tabora United 1600hrs CCM Liti
ROUND 5
33 Tuesday, October 21, 2025 Mbeya City vs Tanzania Prisons 1600hrs Sokoine
34 Wednesday, October 22, 2025 Tabora United vs Mashujaa FC 1600hrs Ali Hassan Mwinyi
35 Wednesday, October 22, 2025 Coastal Union vs Fountain Gate 1900hrs Mkwakwani
36 Wednesday, October 22, 2025 Dodoma Jiji vs Mtibwa Sugar 2100hrs Jamhuri
37 Tuesday, November 4, 2025 Young Africans SC vs KMC FC 1600hrs Benjamin Mkapa
38 Wednesday, November 5, 2025 JKT Tanzania vs Simba SC 1600hrs Mej. Jen Isamuhyo
39 Wednesday, November 5, 2025 Namungo FC vs Azam FC 1900hrs Majaliwa
40 Thursday, November 6, 2025 Pamba Jiji vs Singida Black Stars 1600hrs CCM Kirumba
ROUND 6
41 Friday, October 24, 2025 Mbeya City vs JKT Tanzania 1600hrs Sokoine
42 Saturday, October 25, 2025 Fountain Gate vs KMC FC 1615hrs Tanzanite Kwaraa
43 Saturday, October 25, 2025 Mashujaa FC vs Namungo FC 1400hrs Lake Tanganyika
44 Saturday, October 25, 2025 Dodoma Jiji vs Pamba Jiji 1900hrs Jamhuri
45 Wednesday, December 10, 2025 Tanzania Prisons vs Simba SC 1600hrs Sokoine
46 Wednesday, December 10, 2025 Coastal Union vs Young Africans SC 1900hrs Mkwakwani
47 Thursday, December 11, 2025 Mtibwa Sugar vs Singida Black Stars 1600hrs Jamhuri
48 Thursday, December 11, 2025 Azam FC vs Tabora United 1900hrs Azam Complex
ROUND 7
49 Friday, November 21, 2025 KMC FC vs JKT Tanzania 1600hrs KMC Complex
50 Friday, November 21, 2025 Namungo FC vs Dodoma Jiji 1900hrs Majaliwa
51 Saturday, November 22, 2025 Tabora United vs Tanzania Prisons 1400hrs Ali Hassan Mwinyi
52 Saturday, November 22, 2025 Mashujaa FC vs Mbeya City 1615hrs Lake Tanganyika
53 Sunday, November 23, 2025 Pamba Jiji vs Fountain Gate 1600hrs CCM Kirumba
54 Saturday, December 13, 2025 Young Africans SC vs Simba SC 1700hrs Benjamin Mkapa
55 Sunday, December 14, 2025 Singida Black Stars vs Coastal Union 1600hrs CCM Liti
56 Sunday, December 14, 2025 Azam FC vs Mtibwa Sugar 1900hrs Azam Complex
ROUND 8
57 Tuesday, November 25, 2025 KMC FC vs Mtibwa Sugar 1600hrs KMC Complex
58 Tuesday, November 25, 2025 Coastal Union vs Mbeya City 1900hrs Mkwakwani
59 Wednesday, November 26, 2025 JKT Tanzania vs Tabora United 1900hrs Mej. Jen Isamuhyo
60 Wednesday, November 26, 2025 Fountain Gate vs Tanzania Prisons 1600hrs Tanzanite Kwaraa
61 Wednesday, February 18, 2026 Young Africans SC vs Dodoma Jiji 1900hrs Benjamin Mkapa
62 Thursday, February 19, 2026 Pamba Jiji vs Azam FC 1400hrs CCM Kirumba
63 Thursday, February 19, 2026 Simba SC vs Mashujaa FC 1615hrs KMC Complex
64 Thursday, February 19, 2026 Namungo FC vs Singida Black Stars 1900hrs Majaliwa
ROUND 9
65 Friday, November 28, 2025 Mbeya City vs Namungo FC 1400hrs Sokoine
66 Friday, November 28, 2025 Pamba Jiji vs KMC FC 1615hrs CCM Kirumba
67 Saturday, November 29, 2025 Mtibwa Sugar vs Tabora United 1400hrs Jamhuri
68 Saturday, November 29, 2025 Fountain Gate vs JKT Tanzania 1615hrs Tanzanite Kwaraa
69 Sunday, November 30, 2025 Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 1600hrs Lake Tanganyika
70 Sunday, February 22, 2026 Simba SC vs Coastal Union 1600hrs KMC Complex
71 Monday, February 23, 2026 Tanzania Prisons vs Azam FC 1400hrs Sokoine
72 Monday, February 23, 2026 Singida Black Stars vs Young Africans SC 1615hrs CCM Liti
ROUND 10
73 Tuesday, December 2, 2025 JKT Tanzania vs Mtibwa Sugar 1900hrs Mej. Jen Isamuhyo
74 Tuesday, December 2, 2025 Fountain Gate vs Tabora United 1600hrs Tanzanite Kwaraa
75 Wednesday, December 3, 2025 Tanzania Prisons vs Pamba Jiji 1400hrs Sokoine
76 Wednesday, December 3, 2025 Mashujaa FC vs Coastal Union 1615hrs Lake Tanganyika
77 Wednesday, December 3, 2025 Dodoma Jiji vs Simba SC 1900hrs Jamhuri
78 Thursday, December 4, 2025 Mbeya City vs Singida Black Stars 1400hrs Sokoine
79 Thursday, December 4, 2025 KMC FC vs Azam FC 1615hrs KMC Complex
80 Thursday, December 4, 2025 Namungo FC vs Young Africans SC 1900hrs Majaliwa

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Simba Yamtambulisha Selemani Mwalimu Kutoka Wydad AC kwa Mkopo wa Mwaka
  2. Simba Kuivaa Gor Mahia ya Kenya Kwenye Kilele cha Simba Day
  3. Mshambuliaji Clement Mzize Asaini Kuendelea na Yanga Hadi 2027
  4. Opah Clement Atambulishwa Rasmi SD Eibar ya Hispania
  5. Yanga SC Kucheza Dhidi ya Bandari FC Siku ya Wiki ya Mwananchi
  6. Morocco Yatinga Fainali ya CHAN Baada ya Kuifunga Senegal kwa Penalti
  7. Madagascar Kukipiga Dhidi ya Morocco Fainali ya CHAN 2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo