Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 03/02/2026

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 03/02/2026

NBC Premier League leo Jumanne

Saa 8:00 mchana, Mbeya City watakuwa nyumbani uwanja wa Sokoine wakiwakaribisha Dodoma Jiji

Saa 1:00 usiku, KMC watakuwa uwanja wa Kassim Majaliwa wakikipiga na Mashujaa FC kutoka Kigoma

Je, timu gani kuondoka na alama tatu?

Michezo hii kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 03/02/2026

Edito’s Picks:

  1. Msimamo Kundi la Simba Klabu Bingwa 2025/2026
  2. Kikosi cha Simba VS Es Tunis Leo 1/02/2026
  3. Matokeo ya Simba VS Es Tunis Leo 1/02/2026
  4. Simba VS Es Tunis Leo 1/02/2026 Saa Ngapi
  5. CV Ya Anicet Oura Mshambuliaji Mpya wa Simba 2025/2026
  6. Msimamo wa Kundi la Singida Bs Kombe la Shirikisho CAF 2025/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo