Ratiba ya Mechi ya Leo 25 September 2024
Siku ya leo, tarehe 25 Septemba 2024, mashabiki wa mpira wa miguu duniani watashuhudia mechi kadhaa kutoka katika ligi na mashindano mbalimbali ya vilabu. Hapa Habariforum tumekuletea ratiba kamili ya mechi zote kubwa zitakazochezwa leo, ikiwa ni pamoja na zile za ligi kuu ya TNC Tanzania, UEFA Europa League, Carabao Cup, La Liga ya Hispania, na mashindano mengine makubwa.
Ligi Kuu ya NBC Tanzania
- JKT Tanzania VS Coastal Union Saa 14:00
- KenGold VS Young Africans Saa 16:00
UEFA Europa League
- AZ Alkmaar vs IF Elfsborg β Saa 17:45
- Bodo/Glimt vs FC Porto β Saa 17:45
- Anderlecht vs Ferencvaros β Saa 20:00
- Dynamo Kiev vs Lazio β Saa 20:00
- FC Midtjylland vs Hoffenheim β Saa 20:00
- Galatasaray vs PAOK Salonika β Saa 20:00
- Ludogorets vs Slavia Prague β Saa 20:00
- Manchester United vs FC Twente β Saa 20:00
- Nice vs Real Sociedad β Saa 20:00
Carabao Cup
- Arsenal vs Bolton Wanderers β Saa 19:45
- Liverpool vs West Ham United β Saa 20:00
La Liga (Hispania)
- Girona vs Rayo Vallecano β Saa 18:00
- Barcelona vs Getafe β Saa 20:00
Mashindano ya Soka ya Wanawake
- Slavia Prague Women vs Galatasaray Women β Saa 17:00
- VfL Wolfsburg Women vs Firenze Femminile β Saa 17:30
- VΓ₯lerenga Women vs RSC Anderlecht Ladies β Saa 17:30
Coppa Italia
- Pisa vs Cesena β Saa 15:00
- Udinese vs Salernitana β Saa 17:30
- Genoa vs Sampdoria β Saa 20:00
Mechi Nyingine za Ligi za Ulaya
- Motor Lublin vs Jagiellonia Bialystok (Poland) β Saa 18:00
- Djurgardens IF vs Brommapojkarna (Sweden) β Saa 18:00
- Austria Wien vs Sturm Graz (Austria) β Saa 17:30
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti