Ratiba ya Mechi za AFCON Leo 23/12/2025
Michuano ya AFCON 2025 inaendelea kushika kasi nchini Morocco, ambapo leo Desemba 23, 2025, macho ya mashabiki wa soka barani Afrika yanaelekezwa kwenye viwanja mbalimbali vinavyoshuhudia michezo minne muhimu.
Miongoni mwa mechi zinazosubiriwa kwa hamu kubwa ni ile ya Kundi C kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Nigeria, pambano linalotarajiwa kuwa na ushindani mkali kutokana na historia na ukubwa wa timu hizo.
Ratiba Kamili ya Mechi za AFCON Leo 23/12/2025
| Kundi | Mechi | Muda wa Kucheza |
|---|---|---|
| Kundi C | Nigeria π³π¬ vs Tanzania πΉπΏ | Saa mbili na nusu usiku |
| Kundi C | Tunisia πΉπ³ vs Uganda πΊπ¬ | Saa tano usiku |
| Kundi D | DR Congo π¨π© vs Benin π§π― | Saa 9:30 alasiri |
| Kundi D | Senegal πΈπ³ vs Botswana π§πΌ | Saa 12 jioni |
Mapendekezo ya Mhariri:
- Bao la Dakika za Mwisho la Patson Daka Lainusuru Zambia Dhidi ya Mali, Mechi Ikiisha 1-1
- Msimamo wa Makundi AFCON 2025
- Haaland Aipiku Rekodi ya Magoli ya Cristiano Ronaldo EPL
- Bingwa wa AFCON 2025 Kubeba Zaidi ya Bilioni 24 za Kitanzania
- Chelsea Yanusurika Kupigika Nyumbani Kwa Newcastle United
- AFCON Kufanyika Kila Baada ya Miaka 4: Rais wa CAF Patrice Motsepe Atangaza Mabadiliko Makubwa









Leave a Reply