Ratiba ya Mechi za Leo 06/11/2024

Ratiba ya Mechi za leo

Ratiba ya Mechi za Leo 06/11/2024

Leo katika kona mbalimbali za Dunia kutakua na muendelezo wa michezo ya ligi mbalimbali ambayo inatarajiwa kuwapa mashabiki wa soka jumatano yenye burudani. Kutoka ligi kubwa kama UEFA Champions League hadi ligi za mataifa tofauti barani Afrika, mashabiki watafuatilia matukio haya kwa karibu. Hapa tumekuletea ratiba kamili ya mechi zitakazochezwa leo, tarehe 6 Novemba, 2024.

Ratiba ya Mechi za Leo 06/11/2024

Ligi Kuu ya NBC – Tanzania

  • 16:00Simba SC vs KMC FC

Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania

  • 16:00Bunda Queens vs Yanga Princess

UEFA Champions League – Hatua ya Makundi

Michezo ya UEFA Champions League itaendelea usiku wa leo huku timu zikiwa kwenye harakati za kufuzu kwa hatua inayofuata. Hii ni ratiba ya mechi za leo:

  • 20:45Club Brugge vs Aston Villa
  • 20:45Shakhtar Donetsk vs Young Boys
  • 23:00Bayern Munich vs Benfica
  • 23:00Feyenoord vs RB Salzburg
  • 23:00FK Crvena Zvezda vs Barcelona
  • 23:00Inter vs Arsenal
  • 23:00Paris Saint-Germain vs Atletico Madrid
  • 23:00Sparta Prague vs Brest
  • 23:00VFB Stuttgart vs Atalanta

UEFA Europa League – Hatua ya Makundi

  • 18:30Besiktas vs Malmo FF

Kombe la Mfalme – Uhispania (Copa Del Rey): Raundi ya 1

  • 21:00Xerez vs AD Ceuta FC

Championship – England

Ligi ya Championship inatarajiwa kuwa na msisimko wa hali ya juu usiku wa leo kwa michezo ifuatayo:

  • 22:45Blackburn Rovers vs Stoke City
  • 22:45Coventry City vs Derby County
  • 22:45Millwall vs Leeds United
  • 23:00Luton Town vs Cardiff City
  • 23:00Preston North End vs Sunderland

Ligi ya Mabingwa ya AFC – Mashariki (Asia)

Katika bara la Asia, AFC Champions League itashuhudia timu bora zikikabiliana.

  • 13:00Pohang Steelers vs Shandong Taishan
  • 13:00Yokohama F.Marinos vs Buriram United

Super League – India

  • 17:00FC Goa vs Punjab FC

Ligi Kuu ya Ethiopia

  • 16:00Dire Dawa City FC vs Hadiya Hossana FC
  • 19:00Welwalu Adigrat vs Ethiopia NIGD Bank

Ligue 1 – Burkina Faso

  • 18:30Salitas vs AS Faso/Yennenga
  • 18:30Sonabel vs Majestic FC
  • 18:30Vitesse FC vs ASF Bobo-Dioulasso

Ligi Kuu ya Burundi

Mechi za Ligi Kuu ya Burundi zinatarajiwa kuwa na ushindani mkali. Mechi za leo ni kama ifuatavyo:

  • 16:00Bumamuru FC vs Academie Deira FC
  • 16:00Kayanza United vs Aigle Noir
  • 16:00Le Messager Ngozi vs Royal Vision 2026
  • 16:00Musongati vs Rukinzo FC
  • 16:00Olympic Star vs Flambeau du Centre

Ligi Kuu ya Afrika Kusini

  • 20:30Mamelodi Sundowns FC vs Polokwane City
  • 20:30Stellenbosch FC vs TS Galaxy

Ligi Kuu ya Kenya

  • 15:00Bandari vs Gor Mahia
  • 15:00Sofapaka vs Kenya Police

Ligi Kuu ya Rwanda

  • 16:00AS Kigali vs Marines FC Gisenyi
  • 16:00Bugesera FC vs Gorilla FC
  • 16:00Etincelles vs Rutsiro FC
  • 16:00Muhazi United FC vs Amagaju FC
  • 16:00Musanze vs Rayon Sports FC

Ligi Kuu ya Uganda

  • 16:00UPDF FC vs Mbarara City
  • 16:00Wakiso Giants vs Lugazi FC

Ligi Kuu ya Zimbabwe

Ligi ya Zimbabwe itakamilisha ratiba ya mechi za leo kwa msisimko mkubwa:

  • 16:00Arenel Movers vs Simba Bhora FC
  • 16:00Bikita Minerals vs Highlanders
  • 16:00Chicken Inn FC vs Ngezi Platinum FC
  • 16:00FC Platinum vs Bulawayo Chiefs
  • 16:00GreenFuel FC vs Hwange
  • 16:00Herentals FC vs Chegutu Pirates
  • 16:00ZPC Kariba vs Dynamos

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Simba VS KMC leo 06/11/2024
  2. Kikosi cha Simba VS KMC leo 06/11/2024
  3. Viingilio Mechi ya Simba VS KMC leo 06/11/2024
  4. Aziz Ki Atemwa kikosi Cha Burkina Faso, Nouma Ndani
  5. UEFA Yatoa Ufafanuzi kuhusu Sakata la Vinicius Jr Kukosa Ballon d’Or
  6. Ratiba ya Mechi za Leo 05/11/2024
  7. Mechi ya Simba Vs KMC Sasa Kuchezwa Tarehe 6 Badala ya Tarehe 5
  8. Nahodha wa Hilal Aelezea Maandalizi Kuelekea Vita dhidi ya Yanga
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo