Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania, Yanga SC, wanatarajia kuanza rasmi safari ya kutetea taji lao mnamo tarehe 24 Septemba 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, ambapo wataikaribisha Pamba Jiji FC. Msimu huu wa 2025/2026 unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku Yanga ikifanya maboresho makubwa ya kikosi chake kupitia usajili wa wachezaji wapya wenye ubora na kuachia baadhi ya nyota waliokosa kuonyesha kiwango cha kuridhisha msimu uliopita.

Mashabiki wa soka barani Afrika, na hasa ndani ya Tanzania, wanatazamia kuona kama Yanga itaweza kuendeleza ubabe wake na kutwaa ubingwa kwa mara nyingine, au kama timu pinzani kama Simba SC, Azam FC, na Singida Black Stars watafanikiwa kuizuia safari hii.

Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

Ratiba Kamili ya Mechi za Yanga Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

Hapa chini tumekuandalia ratiba ya kina ya michezo yote ya Yanga SC katika msimu wa Ligi Kuu NBC 2025/2026:

Mechi za Yanga za Kwanza za Msimu

  • 24 Septemba 2025: Yanga SC 🆚 Pamba Jiji – Benjamin Mkapa
  • 30 Septemba 2025: Mbeya City 🆚 Yanga SC – Sokoine
  • 30 Oktoba 2025: Yanga SC 🆚 Mtibwa Sugar – Benjamin Mkapa
  • 1 Novemba 2025: Tanzania Prisons 🆚 Yanga SC – Sokoine
  • 4 Novemba 2025: Yanga SC 🆚 KMC FC – Benjamin Mkapa

Mechi Kabla ya Mwisho wa Mwaka

  • 4 Desemba 2025: Namungo FC 🆚 Yanga SC – Majaliwa
  • 10 Desemba 2025: Coastal Union 🆚 Yanga SC – Mkwakwani
  • 13 Desemba 2025: Yanga SC 🆚 Simba SC – Benjamin Mkapa âš¡ (Dar es Salaam Derby ya kwanza msimu huu)

Mwezi Februari na Machi 2026

  • 18 Februari 2026: Yanga SC 🆚 Dodoma Jiji – Benjamin Mkapa
  • 23 Februari 2026: Singida Black Stars 🆚 Yanga SC – CCM Liti
  • 1 Machi 2026: Yanga SC 🆚 Fountain Gate – Benjamin Mkapa
  • 4 Machi 2026: Pamba Jiji 🆚 Yanga SC – CCM Kirumba

Mechi Zinazosubiri Uthibitisho (TBC)

  • Azam FC 🆚 Yanga SC – Azam Complex
  • Tabora United 🆚 Yanga SC – Ali Hassan Mwinyi
  • Yanga SC 🆚 JKT Tanzania – Benjamin Mkapa
  • Mtibwa Sugar 🆚 Yanga SC – Jamhuri
  • Yanga SC 🆚 Mbeya City – Benjamin Mkapa
  • KMC FC 🆚 Yanga SC – KMC Complex
  • Yanga SC 🆚 Coastal Union – Benjamin Mkapa
  • Dodoma Jiji 🆚 Yanga SC – Jamhuri
  • Yanga SC 🆚 Singida Black Stars – Benjamin Mkapa
  • Yanga SC 🆚 Namungo FC – Benjamin Mkapa
  • Mashujaa FC 🆚 Yanga SC – Lake Tanganyika
  • Fountain Gate 🆚 Yanga SC – Tanzanite Kawara

Mechi za Mwisho za Msimu

  • 4 Aprili 2026: Simba SC 🆚 Yanga SC – TBC âš¡ (Derby ya pili msimu huu)
  • 14 Mei 2026: Yanga SC 🆚 Azam FC – Benjamin Mkapa
  • 20 Mei 2026: Yanga SC 🆚 Tabora United – Benjamin Mkapa
  • 23 Mei 2026: JKT Tanzania 🆚 Yanga SC – Mej. Jen. Isamuhyo

Mapendekezo ya Mhariri

  1. Hizi Apa Picha za Jezi mpya za Simba 2025/2026
  2. Tarehe za Mechi za Simba VS Yanga 2025/2026: Ratiba ya Dabi ya Kariakoo
  3. Yanga Kutumia Benjamin Mkapa Kama Dimba la Nyumbani Huku Simba Kuhamia KMC Complex
  4. Msimamo wa Ligi Kuu England EPL 2025/2026
  5. Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026
  6. Simba SC Kufanya Maamuzi Magumu Kuhusu Hatma ya Kipa Wao
  7. Makundi ya CECAFA Kagame Cup 2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo