Ratiba ya Mtihani wa Upimaji wa Darasa la Pili 2025
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi Ratiba ya Mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili 2025. Mtihani huu ni wa ngazi ya shule na unalenga kupima uwezo wa wanafunzi wa darasa la pili katika stadi tatu kuu za msingi ambazo ni kusoma, kuandika (Writing: Basic English Language Skills) na kuhesabu (Arithmetic Skills). Upimaji huu ni hatua muhimu inayosaidia kutathmini kiwango cha uelewa na maendeleo ya wanafunzi katika umilisi wa somo la lugha na hisabati.
Ratiba ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili 2025
Mtihani wa Upimaji wa Darasa la Pili 2025 umepangwa kuanza kufanyika mwezi Novemba 2025 kama ifuatavyo:
Tarehe | Siku | Muda | Somo/Stadi |
18/11/2025 | Jumanne | 2:00 – 2:40 | Kuandika: Basic English Language Skills |
2:40 – 3:40 | Mapumziko | ||
3:40 – 4:30 | Stadi ya Kuhesabu (Arithmetic Skills) | ||
19/11/2025 | Jumatano | 2:00 – 5:00 | Stadi ya Kusoma |
20/11/2025 | Alhamisi | – | (Kwa shule zenye zaidi ya wanafunzi 300, stadi ya kusoma inaweza kuendelea siku hii) |
Mapendekezo ya Mhariri:
- MANEB PSLCE Results 2025 (Primary School Leaving Certificate of Education Results)
- Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu Cha UDSM 2025/2026
- Sifa za Kujiunga na Vyuo Mbalimbali Tanzania 2025/2026
- Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Uhasibu TIA 2025/2026
- Vigezo vya Kupata Mkopo Ngazi ya Diploma 2025/2026
- Sifa za Kujiunga Chuo cha Utumishi wa Umma 2025/2026
- Dirisha la Maombi ya Vyuo Vikuu 2025/2026 Lafunguliwa Rasmi – Tuma Maombi Kabla ya 10 Agosti
Leave a Reply