Ratiba ya Nusu Fainali AFCON 2025

Ratiba ya Nusu Fainali AFCON 2025

Michuano ya AFCON 2025 imefikia hatua nyeti na yenye mvuto mkubwa, ambapo mataifa manne makubwa ya soka barani Afrika yamefanikiwa kuvuka kizingiti cha robo fainali na sasa yanapambania nafasi ya kucheza fainali ya mashindano haya makubwa.

Baada ya safari ndefu iliyojaa ushindani mkali, timu za Misri, Nigeria, Morocco na Senegal ndizo zimebaki kwenye mbio za mwisho za kuwania taji la Afrika, huku ratiba ya nusu fainali AFCON 2025 ikionesha mabingwa hawa kurudi dimbani siku ya Jumatano, 14 Januari kusaka tiketi za kucheza katika fainali ya michuano hii na mwisho bingwa wa msimu wa 2025 kujulikana.

Ratiba ya Nusu Fainali AFCON 2025 ni kama ifuatavyo:

  • Senegal vs Egypt – Jumatano, 14 Januari
  • Morocco vs Nigeria – Jumatano, 14 Januari

Michezo hii miwili inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na historia, uzoefu na ubora wa kikosi cha kila timu.

Ratiba ya Nusu Fainali AFCON 2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Timu Zilizofuzu Robo Fainali AFCON 2025
  2. Yanga vs KVZ Leo 04/01/2025 Saa Ngapi?
  3. Ratiba ya AFCON 2025 Hatua Ya 16 Bora
  4. Timu Zilizofuzu Hatua Ya 16 Bora AFCON 2025
  5. Msimamo wa Makundi AFCON 2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo