Simba Sc vs Greenland Fc Leo 17/02/2026 Saa Ngapi?
Baada ya kushindwa kuonesha makali katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika, sasa Wekundu wa Msimbazi Simba SC wanarejea kwenye ushindani wa ndani kupitia michuano ya CRDB Bank Federation Cup 2025/2026, ambapo leo Jumanne, Februari 17, 2026, watawakaribisha Greenland FC katika mchezo wa hatua ya 64 Bora.
Mchezo huu ni miongoni mwa mechi zilizopangwa kuchezwa leo katika ratiba rasmi ya mashindano hayo, ukiwa umevutia mashabiki wengi wanaotamani kuona jinsi gani Simba Sc itaendelea hasa baada ya kuongezwa kwa nyota kadhaa katika dirisha dogo la usajili.
Soma Pia:
- Ratiba ya Mechi za CRDB Federation Cup Leo 17/02/2026
- Kocha Gamondi Asaini Kukiongoza Kikosi cha Taifa Stars Mpaka 2028
Simba Sc vs Greenland Fc Leo Saa Ngapi?
Kwa mujibu wa ratiba rasmi ya CRDB Bank Federation Cup, mchezo wa:
Simba SC vs Greenland FC
- Tarehe: Jumanne, 17 Februari 2026
- Muda: Saa 1:00 Usiku
Huu ni mchezo wa hatua ya 64 Bora, ukiwa sehemu ya muendelezo wa raundi za awali za michuano hiyo ya kitaifa.
Mapendekezo ya Mhariri:









Leave a Reply