Simba SC Yasogeza Tarehe ya Uzinduzi wa Jezi Mpya 2025/2026

Simba SC Yasogeza Tarehe ya Uzinduzi wa Jezi Mpya 2025/2026

Dar es Salaam, Tanzania Klabu ya Simba SC imetangaza kusogeza mbele tarehe ya uzinduzi wa jezi mpya kwa msimu wa 2025/2026. Awali, uzinduzi huo ulikuwa umepangwa kufanyika tarehe 27 Agosti 2025 (Jumatano), lakini sasa umesogezwa hadi 31 Agosti 2025 (Jumapili).

Uamuzi huu wa Simba SC kusogeza Tarehe ya Uzinduzi wa Jezi Mpya 2025/2026 umekuja bila sababu rasmi kutolewa na uongozi wa klabu. Hata hivyo, tukio hili linasalia kuwa miongoni mwa matukio makubwa yanayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini, hasa wapenzi wa Simba SC.

Simba SC Yasogeza Tarehe ya Uzinduzi wa Jezi Mpya 2025/2026

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Viingilio Simba Day 2025
  2. Ligi Kuu Zanzibar ZPL 2025/2026 kuanza Septemba 20
  3. Jezi Mpya za Yanga 2025/2026 | Picha za Jezi Mpya za Yanga
  4. Bei ya Jezi Mpya za Yanga 2025/2026
  5. Matokeo ya Taifa Stars vs Morocco Leo 22/08/2025 CHAN
  6. Kikosi cha Taifa Stars vs Morocco Leo 22/08/2025 CHAN
  7. Cv ya Neo Maema Kiungo Mpya wa Simba 2025/2026
  8. Wafungaji Bora CHAN 2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo