Simba vs Namungo FC Leo 01/10/2025 Saa Ngapi?

Simba vs Namungo FC Leo 01/10/2025 Saa Ngapi?

Wekundu wa Msimbazi Simba leo watakua dimbani kuzisaka pointi tatu muhimu za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026 mbele ya wageni wao Namungo FC katika mchezo unaotajwa kuwa wa ushindani mkubwa. Mchezo huu utapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 2:15 usiku, ukitarajiwa kuvuta hisia za mashabiki kutokana na historia na rekodi za timu hizi mbili.

Simba vs Namungo FC Leo Saa Ngapi?

Mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Namungo FC utafanyika Leo, Jumatano tarehe 01 Oktoba 2025, kuanzia saa 2:15 usiku, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Simba vs Namungo FC Leo 01/10/2025 Saa Ngapi?

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Singida BS Yaendeleza Ubabe Mbele ya Mashujaa na Kubaki Kinara wa Ligi Kuu Bara
  2. Ratiba ya Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026
  3. Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2025/2026
  4. Viingilio Mechi ya Simba vs Namungo FC 01/10/2025
  5. Yanga Sc Yalazimishwa Sare Ya 0-0 Na Mbeya City
  6. Ratiba ya Mechi za Leo 30/09/2025 Ligi Kuu ya NBC
  7. Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2025/2026
  8. Arsenal yapata ushindi wa dakika za mwisho dhidi ya Newcastle United
  9. Wapinzani wa Simba Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika CAF
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo