Timu Zilizofuzu Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 | Timu zitakazo shiriki CAF Champions League 2024/2025
Homa ya soka barani Afrika imezidi kupanda baada ya msimu wa kusisimua wa 2023/2024 wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) kumalizika kwa kishindo. Mabingwa watetezi, Al Ahly, walitwaa taji lao kwa ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Esperance, wakiweka historia kwa mara nyingine tena. Lakini burudani ya soka haisimami, na sasa macho na masikio ya wapenda soka kote barani Afrika yanaelekezwa kwenye msimu mpya wa 2024/2025, ambapo vita vya kuwania taji hilo vimeanza upya.
Tayari timu kadhaa zimepiga hatua kubwa katika ligi zao za ndani, zikijihakikishia tiketi ya kucheza katika uwanja mkubwa zaidi wa vilabu barani Afrika. Lakini kwa wengine, vita vya kufuzu bado vinaendelea, vikitoa drama na msisimko wa hali ya juu.
Msimu huu unakuja na mabadiliko makubwa, huku baadhi ya vigogo waliozoeleka kuonekana katika michuano ya klabu bingwa Afrika kama Simba SC wakikosa nafasi baada ya miaka minne mfululizo ya kushiriki. Je, ni akina nani wamefanikiwa kujihakikishia nafasi? Ni timu zipi zitaleta ushindani mkali zaidi? Na je, kuna mshangao wowote tunaoweza kutarajia?
Hizi apa Timu Zilizofuzu Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
Timu | Njia Ya Kufuzu |
Al Ahly | 2023–24 CAF Champions League champions |
Raja CA | 2023–24 Botola (champions or runners-up) |
AS FAR | 2023–24 Botola (champions or runners-up) |
MC Alger | 2023–24 Algerian Ligue Professionnelle 1 champions |
Mamelodi Sundowns | 2023–24 South African Premier Division champions |
Orlando Pirates | 2023–24 South African Premier Division runners-up |
Young Africans | 2023–24 Tanzanian Premier League champions |
Azam | 2023–24 Tanzanian Premier League runners-up |
TP Mazembe | 2023–24 Linafoot champions |
AS Maniema Union | 2023–24 Linafoot runners-up |
Petro de Luanda | 2023–24 Girabola champions |
Sagrada Esperança | 2023–24 Girabola runners-up |
FC San Pedro | 2023–24 Côte d’Ivoire Ligue 1 champions |
Djoliba FC | 2023–24 Malian Première Division champions |
Victoria United FC | 2023–24 Elite One champions |
FC Nouadhibou | 2023–24 Super D1 champions |
Jwaneng Galaxy | 2023–24 Botswana Premier League champions |
Red Arrows FC | 2023–24 Zambian Super League champions |
Teungueth fc | 2023–24 Senegal Premier League champions |
SC Villa | 2023–24 Uganda Premier League champions |
Mbabane Swallows | 2023–24 Eswatini Premier League champions |
Vital’O | 2023–24 Burundi Premier League champions |
AS Arta/Solar7 | 2023–24 Djibouti Premier League champions |
Gor Mahia | 2023–24 FKF Premier League champions |
Lioli | 2023–24 Lesotho Premier League champions |
Watanga | 2023–24 Liberian First Division champions |
Nyasa Big Bullets | 2023–24 Super League of Malawi champions |
African Stars | 2023–24 Namibia Premier Football League champions |
APR | 2023–24 Rwanda Premier League champions |
Mapendekezo Ya Mhariri:
- Timu zitakazo shiriki CECAFA kagame Cup 2024
- Zamalek Yashinda Kombe la Shirikisho CAF 2023/2024
- Simba SC Yasaka Kocha Mpya Mwenye Uzoefu wa CAF
- Muonekano wa Kombe La CRDB Federation Cup 2023/2024
- Timu zilizopanda Daraja Ligi Kuu ya England EPL 2024/2025
- Picha Za Parade ya Yanga SC Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24
- Matokeo na Ratiba ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Weka Komenti